Serikali yafuta ajira za walimu mwaka huu

Status
Not open for further replies.
Unachotakiwa kufanya in kusain mkataba name kama utapata ajira ya kudumu utasitisha mkataba kisheria.
 
Tanzania Daima ni gazeti la upinzani yaani la Mbowe so imewekwa kama Swali coz ukimya wa serikali mpka sasa
Pengine kuchokonoa watatoa jibu
 
Tanzania Daima ni gazeti la upinzani yaani la Mbowe so imewekwa kama Swali coz ukimya wa serikali mpka sasa
Pengine kuchokonoa watatoa jibu

bas hapo watakuwa wametusaidia maana wamekaa kimya sana.
 
clouds tv nao.wamesoma hivohivo na wameahidi kumwalika waziri jumanne ijayo kuja kulitolea ufafanuzi
 
itakua poa kumbe kuna baadhi za media zinauchungu na raia wa nchi hii maana mm jumanne ntaenda kuangalia kwa mtendaji.
 
Kwanza hizi habari zina utata sana.

1: Chanzo cha hii habari ni mitandao ya kijamii.

2: Sisi tunasubiri ajira za 2014/2015 so sioni haja ya walimu kupaparika hovyo

3:Katibu mkuu mtendaji Tamisemi alisema serikali inatovuti zake ambazo inazitumiaa kutoa habari na watanzania wasiwe na wasiwasi na watajulishwa pindi ajira hizo zitakapotangazwa.mwisho wa kunukuuu.

4: Hiyo taarifa ipo mfumo wa swali hivyo mwandishi anaonekana kama amewatupia swali serikali kuhusu kuajiri walimu.

Namaliziaa kwa kumpa hongera nyingi sana mwandishi aliyeandia habari ile kwakutumiaa ubunifu wa hali ya juu katika kukumbusha serikali yetu kuhusu ajira zetu
 
Ni swali wanauliza
 

Attachments

  • 1428559275704.jpg
    100.3 KB · Views: 687
ndugu zangu tusidanganyike na tangazo lililotolewa na wizara kupitia tovuti maana iliwapasa kufanya hivo kufuatia tangazo feki, kinachonipa wasiwasi ni wizara kutokuwa specific kwa maana hiyo lolote laweza tokea
 
lengo kuu ni kutaka kula za wasomi\walimu-kuna mgombea kutoka ccm atasema 'kwa kuwa ni bomu litakalo lipuka, basi nipeni kula zenu ili nihahakishe mnaajiliwa'.
siku hizi mambo yako kisiasa zaidi.



DARUBINI KALI.
 
wana ccm ilitushinda escrow tumepigwa chini uwenyeviti ili la ajira si ndo na ubunge tutajaza wapinzani bungeni tujiandi
 
Mwenye kulpata alisome vizuri Make linasema wenye hela wamesema hawatak kuajiri
 
Nafili hata vyombo vya haari vimeona uchungu wa raia hakika imefika wakati serikali isikie kirio chetu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…