Hizo habari ni za kichochezi na maana zimeripotiwa na Tz Daima.
Hizo habari ni za kichochezi na maana zimeripotiwa na Tz Daima.
from mdau wa elimu mkubwa tu....Kaniambia sio kwamba haiajiri bali watakaopata ajira ni walimu wa math/science na idadi ndogo ya walimu wa geog/english upande wa arts na hao watapelekwa maeneo nyeti..
Wewe ndo umeondoa utata. Sisi watanzania vichwa ngum. Kichwa cha habari kilikuwa kwenye mfumo wa Question na siyo katika Statement
Katibu Mkuu amesema kumekuwepo na uvumi kwa baadhi ya mitandao ya kijamii kutangaza kuajiriwa walimu wapya kitu ambacho sio cha kweli na amewataka wananchi kutumia mitandao maalum ya Serikali yenye dhamana ya kutangaza ajira za watumishi nchini kwani kwa hivi sasa Wizara inasubiri kufanya upangaji wa watumishi walimu na mara fedha zao zitakapokuwa tayari watapangwa katika maeneo mbalimbali kulingana na uhitaji wa mahali husika.Ingieni Tamisemi and then nenda kwenye taarifa ya kikao cha wafanyakazi, nenda kwenye paragraph ya chini kabisa ambayo ni ya mwisho. Soma wewe mwalimu utapata kujua nini hatima yako.
15 Of April wil know black and whites