Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa Mada atakuwa uwezo wake ni mdogo ndo mana kila akiomba kazi PSRS anashindwa kufaulu kwenye usaili.Wakiifuta uhangaike maofisini kutafuta kazi, utaona jito la jiwe. Sekretari at ya ajira ni chombo muhimu sana kukupatia ajira serkalini. Wako makini upendeleo hawana. Nawashukuru nilipata ajira kupitia wao kwa sifa zangu bila kumfahamu yeyote.
Mkuu hapo kwenye seretarieti ya ajira umechemka, wale hawana upendeleo kabisa, wako vzuri sana labda mapungufu ya kuchelewesha mchakato ya kuitwa kazini unless otherwise big up kwaoInasemekana serikali imechukua uamuzi wa kufuta BRN. Nipongeze serikali hii kwa hatua hiyo...
Ombi letu, tunaomba mfute na sekretariate ya ajira. Hawa majamaa hakuna wanachokifanya, wamekuwa na urasimu mkubwa sana na wabaguzi sana...
Magufuli chapa kazi. BRN ilikuwa jipu linalokula ela. Lingine ni hili sekreatriate ya ajira...
Mwisho, tunaomba sasa ufungulie ajira serikalini... Hali mbaya huku mitaani
Kusubiri ajira serikalini ni kupoteza muda tuInasemekana serikali imechukua uamuzi wa kufuta BRN. Nipongeze serikali hii kwa hatua hiyo...
Ombi letu, tunaomba mfute na sekretariate ya ajira. Hawa majamaa hakuna wanachokifanya, wamekuwa na urasimu mkubwa sana na wabaguzi sana...
Magufuli chapa kazi. BRN ilikuwa jipu linalokula ela. Lingine ni hili sekreatriate ya ajira...
Mwisho, tunaomba sasa ufungulie ajira serikalini... Hali mbaya huku mitaani
Sasa imefutwa hiyo issue imeanzishwa kitu gani?kama hoja nzito zikiwa zinawaishia ni bora muwe wachangiaji tu kuliko kujifanya wanzilishi wa nyuzi nyingi lakini chovu..ni ushauri tu mkuu...
Kama unaijua vizuri BRN usishangilie kufutwa kwake. BRN ni mkakati mzuri sana, nafikiri tatizo lilikua kwenye usimamizi. BRN ingesimamiwa vizuri tungepiga hatua sana.
Anything tangible from BRN?Kama unaijua vizuri BRN usishangilie kufutwa kwake. BRN ni mkakati mzuri sana, nafikiri tatizo lilikua kwenye usimamizi. BRN ingesimamiwa vizuri tungepiga hatua sana.
wewe mngese unajua umuhimu wa hiyo secretariat ya ajira? hao ndo walioondoa nepotism kwenye ajira za umma. zamani ilikuwa mkuu wa taasisi yoyote ya umma akiamua kuajiri anachomeka ndugu yake au yeyote aliyekaribu naye. leo hii secretariat ya ajira imetuondolea upumbavu huu.Inasemekana serikali imechukua uamuzi wa kufuta BRN. Nipongeze serikali hii kwa hatua hiyo...
Ombi letu, tunaomba mfute na sekretariate ya ajira. Hawa majamaa hakuna wanachokifanya, wamekuwa na urasimu mkubwa sana na wabaguzi sana...
Magufuli chapa kazi. BRN ilikuwa jipu linalokula ela. Lingine ni hili sekreatriate ya ajira...
Mwisho, tunaomba sasa ufungulie ajira serikalini... Hali mbaya huku mitaani
Inaonekana wew nae ni wa kuimba mbele kwa mbelex2, mtaisoma nambax2.... Endelea kuomba hayo maombi yako wakati utafka akili yako itafunguka[emoji124] [emoji124] [emoji124]Inasemekana serikali imechukua uamuzi wa kufuta BRN. Nipongeze serikali hii kwa hatua hiyo...
Ombi letu, tunaomba mfute na sekretariate ya ajira. Hawa majamaa hakuna wanachokifanya, wamekuwa na urasimu mkubwa sana na wabaguzi sana...
Magufuli chapa kazi. BRN ilikuwa jipu linalokula ela. Lingine ni hili sekreatriate ya ajira...
Mwisho, tunaomba sasa ufungulie ajira serikalini... Hali mbaya huku mitaani
kweli mku m mwenyewe nimeenda mara moja nikapata kazi mtoa mada amezoea kuchomweka sasa anataka ifutwe ili apeleke vyeti vyake kwa mjomba wakeSekreterieti ya ajira ni kila kitu kweny ajira
Hasa kwa watt masikini wasio na network
Nilienda mara moja nikapata kazi,
Wew utakuwa ****** sana.
kwani tupo nae humu?Daaah
Mkulu atakua anacheki mechi ya Arsenal saa izi,akimaliza atakusoma
Wakiifuta uhangaike maofisini kutafuta kazi, utaona jito la jiwe. Sekretari at ya ajira ni chombo muhimu sana kukupatia ajira serkalini. Wako makini upendeleo hawana. Nawashukuru nilipata ajira kupitia wao kwa sifa zangu bila kumfahamu yeyote.