Tetesi: Serikali yafuta BRN, Magufuli sasa tufutie hii kitu inaitwa "Sekretariati ya Ajira"

Sekretariet ya ajira wako vizuri sana, watoto WA maskini wamepata sana ajira kupitia hapo
 
Kwa nini hivi vitu visiwe vinaanzishwa au kufutwa na bunge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…