Codon
JF-Expert Member
- Dec 16, 2011
- 628
- 93
umetumwa kuharisha ujinga humu eee, hao interns wataenda kufanya kazi chini ya nani wakati madaktari bingwa (specialists) na wanaosomea ubingwa nao wamegoma, si mnataka watoto wa watu watuue wananchi pumbavu zenu, kawaambie waliokutuma wakokotoe na kurekebisha primary problem kwanza!
2nd taratibu za kulipa mkopo zinaanza tu pale mtu anapokuwa na ajira, na deni halina riba. Still wanaweza kuajiriwa kwenye mashirika mengine vilevile kama ya bima, na miradi mbalimbali ambayo ni health related, hailazimu mtu awe amefanya Internship.... kwa taarifa yako hata Mh. Mwinyi , waziri wa Afya hakumaliza internship Muhi2 wakati wake......
Aliona jamaa wanambana akaamua kurudi nje kufanya master's ili kuua kipengele cha intern!