Serikali yahakikishiwa madaktari internship 700; waliogoma 400 kufutiwa leseni ya udaktari?

Aliona jamaa wanambana akaamua kurudi nje kufanya master's ili kuua kipengele cha intern!
 
serikali ya ccm ndo itafuta degree za hawa intern, lkn vichwani mwao udaktari au ujuzi utabaki palepale! M4C itawarejeshea udaktari wo 2015 nchi itakapokombolewa. Pinda upo hapo nchi si yenu hii mkafanya mnayotaka
 
Private sector unaijua au unabwabwaja
 
Maamuzi ni maamuzi, haijalishi yanafaa kwa kiasi gani. Shukrani kwa kutupa wazo jipya la kufikiria. Naanza kujiuliza if......... if ..... if...... if ........ Tired! system resume........... liwalo na liwe, narudi shamba, mjini mnauza mno maneno bila hata kufikiri
 
hajui udaktari maana yake ni nini! Ni zaidi ya leseni na zaidi ya chama, kiwe cha magamba au kingine chochote. Ni moja kati ya noble professions ambazo hao waliokutuma kwa ubongo wao hawauwezi, na ndo maana thamani yake hawaijui.
 
Mahamuzi haya yanatija kwa list hiliotolea leo ya madaktari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…