Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 790
Kwa taarifa za uhakika hao RITES hizo hisa 51 hawakulipa chochote,badala yake wakatumia rasilimali za TRL kwenda kuomba mkopo wa Dola Mil 100 toka World Bank ili kuendesha TRL.Sasa kwa umbumbumbu wa Serikali yetu watataka kujadiliana nao ili eti wazinunue hizo hisa asilimia 51 za RITES.
Only keeping record clear!!!
Kampuni/Taasisi iliyokopa inaitwa TRL (Ambayo ni ubia kati ya Serikali na RITES), aliyekopa WB sio GoT wala RITES.
Okay endelea na mjadala mkuu!!!
Angalizo: TRL ni Tanzania Railways Limited.