Toka lini plea bargain ikasimamiwa na DPP kwenye nchi inayofuata "Rule of Law"? Unafanyaje plea bargain kwenye mazingira ambayo upelelezi haujakamilika?
Ukweli ni kwamba plea bargain inayofanywa iko kinyume cha sheria na ni kichaka cha kujipatia fedha toka kwa waliolengwa. Ni unyang'anyi wa mchana unaofanywa purposefully na Jiwe na Biswalo Mganga.
Kwa mapambano ya ufisadi ni uwongo mtupu. Mafisadi aliokuwa anapanga kuwaundia Mahakama ya Mafisadi hajawagusa na as such hata Mahakama yenyewe imekuwa "IRREREVANT".
Sana sana wale anaowachukua kwa sababu mbali mbali ametupa rumande bila dhamana kwa miaka 4 sawa kwa makosa ya kutakatisha fedha. Wakati huo huo DPP anasema upelelezi haijakamikika.