Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shabiki wa simba ila naipenda yangaHabiby wewe ni shabiki wa Yanga au Simba?
Aaahh sanaAnko wangu nakazia nipo upande wako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akilimali tu hapaWewe umepitwa na wakati kweli, watu wanapanda mwendo kasi, wewe unang'ang'ania GUTA tena cycling GUTA na sio motor GUTA
Shabiki wa simba ila naipenda yanga
Namkubali sana huyo Mzee! Una ile picha yake anakula Ubwabwa?Twende na Akilimali wana jangwani
Yanga ina katiba yake, na ili jambo hili la uchaguzi likamilike, lazima katiba ya Yanga ifuatwe, tuache mihemuko ya wanasiasa, kwenye CUF wapo kimya mpaka leo, lakini kwenye Yanga wanatoa povu. Yanga ina washabiki wengi kushinda CUF na Yanga ipo kabla ya hata huyo mtoa povu wa serikali
HAwapendi mambo ya AMBER LUTTYYanga bhwana
Daima mbele nyuma mwiko
Sio kwa mzee akili mali anaijua yanga kiundani kuliko mtu yeyote dunianiKumbe ndio maana huitakii mema timu yangu ya Yanga!
Hujajibiwa ushatoa conclusionHii nimeipenda, haya Waziri hili unalisemeaje? Tena wakati profesa anajuzulu CUF ulikuwa waziri wa sheria na katiba, hebu tupe ufafanuzi utofauti wa katiba hizi mbili, ya CUF na ya Yanga mwenyekiti anapojiuzulu kwa barua, ni nani anayetakiwa kuthibitisha au kukataa kujiuzulu kwake. Acheni ushabiki wa u-Yanga na u- Simba ndio maana mpira wetu unapiga mark-time
kwani tatizo liko wapi kwanini huyo manji asichukue tu fomu na akagombea tena si anapendwa na wapiga kura wote?Naomba kufahamu Yanga inamilikiwa na serikali?kwanini serikali inataka kuingiza pua kila mahali?