Serikali Yaionya Yanga. Yamtaka Yusuf Manji Asithubutu Kuichezea Serikali

Anko wangu nakazia nipo upande wako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaahh sana
Akilimali ndo bora
tangu Manji yupo india Akilimali ni yanga damu
 
mzalendo mwanayanga uliyetukuka mzee akilimali kura yangu kwako husiwe na wasiwasi
 
Safi Waziri Mwakyembe, pia tupige marufuku Wahindi kugombea uongozi kwenye clubs zetu, iandikwe na kupelekwa Bungeni, pili Mwanachama wa Yanga/Simba lazima pia awe mkazi wa SDar na siyo mtu yuko Kigoma anajifanya anaipenda sana Simba/Yanga, kwani huko hakuna timu?

Hayo ni maoni yangu!
 
Acha kufananisha CUF na vitu vya kipuuzi!
 
Hujajibiwa ushatoa conclusion
 
Yanga mkitaka kuikomoa serikali nendeni mahakamani tufungiwe na FIFA na CAF...hata mashindano ya AFCON under 17 tukose kuandaa..tukifuzu Cameron tushindwe kwenda..tutaheshimiana..#shubamitikengezao
 
Yanga ni klabu ya wanachama na si tasisi ya serikali
 
Wale wapigaji na wapenda vya mteremko wanakesha wakimlamba Manji hawako kwa akijili ya Maslai ya timu bora mzeevakilimali awe Mwenyekiti anaona mbali
 
Naomba kufahamu Yanga inamilikiwa na serikali?kwanini serikali inataka kuingiza pua kila mahali?
kwani tatizo liko wapi kwanini huyo manji asichukue tu fomu na akagombea tena si anapendwa na wapiga kura wote?
 
Mashabiki wa yanga vilaza sana. Si kidogo...tena ni mandondocha. Manji alijiuzuru kwa barua na amekaa mbali na yanga muda mrefu tu.lakin kuna mijitu ina aamini na kulazimisha kuwa yeye bado ni mwenyekiti.mwenyekiti wa ndoa zao?

Kama bado anaihitaj yanga si achukue fomu agombee? Ukizeeka ukawa na njaa hata akili inahama.mkuchika naye kama bwege...anakuja kusoma barua yake toka kwa manji.toka lini manji hawezi kuongea?

Badala kujiandaa kikazi kuisaidia yanga....mijitu mifala inakaa kumlilia manji.kama unampenda sana manji nenda kaolewe naye ukae naye kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…