Serikali yaipiga marufuku bodi ya shirika la nyumba NHC kuhusu ujenzi wa miradi mipya ya kibiashara.

Ashura9

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
740
Reaction score
485
Serikali yaipiga marufuku bodi ya shirika la nyumba NHC kuhusu ujenzi wa miradi mipya ya kibiashara.



Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh.Willium Lukuvi amepiga marufuku bodi ya shirika la Nyumba la Taifa kuruhusu ujenzi wa miradi mipya ya kibiashara.

Sambamba na hilo Waziri Lukuvi amepiga marufuku Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kupandisha kodi kwa nyumba za serikali bila kumhusisha.

Aidha Waziri Lukuvi ameitaka NHC kujenga nyumba za bei nafuu kwa kuwa zilizopo sasa ni ghali kwa watanzania walio wengi,hivyo kushindwa kumudu gharama hizo.

Maagizo hayo ameyatoa wakati akizungumza na bodi ya NHC Jijini Dar es Salaam.
 
Safi mfanyakazi anakopeshwa mkopo wa juu sh million 10 halafu nyumba ya nafuu million 50 kweli ni nafuu hii nyumba?.
Waangalie upya huu ujenzi wa nyumba nafuu la wabadilishe matumizi ya lugha
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…