Serikali yairuhusu Yanga kutumia Uwanja wa Taifa

Serikali yairuhusu Yanga kutumia Uwanja wa Taifa

>>>KWA ubishi Tu WAMECHUKUA vyooote Viwili WALE wa mlengo Wa kushoto Wakacheze viwanja vya Magwepande pale>>>
 
daaah sasa sisi mbumbumbu fc tukakodi chamanzi au vp? manake lazma na sisi tuje na plan b mjue. ngoja nimpigie manara nimshauri
 
Back
Top Bottom