Serikali yaitunukia Jamii Forums Cheti cha Shukrani kwa kudhamini Kongamano la Habari 2022

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeikabidhi Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Jamii Forums Cheti cha Shukrani kwa kutambua uamuzi wake wa kuwa Mdhamini wa Kongamano la Habari lililofanyika leo Desemba 17, 2022 jijini Dar es Salaam.

 
Serikali basi Wasibane basi uhuru wa kutoa habari
 
Hakina hata nembo ya serikali
 
Yote yako mikononi mwetu ni kuamua tu kuyamiliki kuwa ndivyo
hakuna atakaye achia madaraka kwa maridhiano. Ni pressure by whatever route! Route ya maridhiano ikishindwa, then there is only one option...
 
Mungu Ibariki Jamii Forums
 
source 1 :ni JF
source 2 :ni TCRA na polisi

tunachokijua :ni mahakama

kazi kwenu watumiaji 2023
 
brazaj uko macho? mimi nakwenda shamba now , kimvua kinanyesha niwahi kurudi kwenda kanisani. Naona uko JF!

Mkuu mpambano na hawa jamaa hamna kulala. Usingizi utoke wapi? Vipi kufurahia Simba na yanga au kombe la Dunia wakati tu watumwa wa walamba asali katika nchi yetu wenyewe?
 
hakuna atakaye achia madaraka kwa maridhiano. Ni pressure by whatever route! Route ya maridhiano ikishindwa, then there is only one option...

1. Route ya maridhiano ikishindwa ....
2. Hakuna atakeachia madaraka kwamaridhiano.

Hizo mbili ni statements zako.

NInakazia:

 
Hivi ile kesi serikali iliyo wafungulia JF imeishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…