Serikali yaja na mapya katika elimu

Serikali yaja na mapya katika elimu

bmalale

Senior Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
466
Reaction score
24
Dar es Salaam. Serikali imeanzisha mfumo mpya wa udahili kwa wanafunzi wanaoingia kidato cha kwanza, kwa kuwalipia ada watakaojiunga na shule binafsi.

Vilevile, imeanzisha utaratibu utakaoshirikisha shule binafsi na zinazoendeshwa na Serikali katika kuteua wanafunzi watakaojiunga na sekondari.

Akizungumza katika mahojiano maalumu na Mwananchi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, alisema kuwa utaratibu huo unatarajiwa kuanza kutumika pia kwa wanafunzi wanaotarajiwa kuingia kidato cha tano mwaka huu.

Alisema kuwa mfumo huo utasaidia kuwezesha wahitimu wengi, waliofanya vizuri kupata nafasi za kuendelea na masomo huku pia shule nyingi zikiwa na uhakika wa kupokea wanafunzi.

DarNewsLINE
 
Me huwa najiulza hzo pesa za kuwalpia wanfnzi waliokosa nafas za kuendlea kidato cha kwa zinatka wap na kwanza wamekosaje shule zimejaa? nina uhakika wa kutosha shule bado zpo nying tena hazna wanafnz kwa nin hzo pesa za kuwasmesha private schools wasiboresh kwa kujenga mabwen ya kutosha ili kuepuka garama na tena yata2miwa na vizaz?kwel hii ndio tz mwendo wa kupeana ulaj alaf mnatka Brn Ifanye kaz kwel kwa mpango huo mh.prof.Sifun jipnge upya na cabinet yako
 
Hii sasa siyo EPA bali ni chukua chako maofisa
 
Hiyo fedha ni bora ipelekwe kwenye kuboresha mabweni ya shule ili wachukue wanafanzu wengi wa kidato cha tano
 
Hizo fedha si ni bora kupunguza deni la taifa. Kama haijawezekana bac wawahonge TANESCO ili watupunguzie gharama za units.
 
Dar es Salaam. Serikali imeanzisha mfumo mpya wa udahili kwa wanafunzi wanaoingia kidato cha kwanza, kwa kuwalipia ada watakaojiunga na shule binafsi.

Vilevile, imeanzisha utaratibu utakaoshirikisha shule binafsi na zinazoendeshwa na Serikali katika kuteua wanafunzi watakaojiunga na sekondari.

Akizungumza katika mahojiano maalumu na Mwananchi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, alisema kuwa utaratibu huo unatarajiwa kuanza kutumika pia kwa wanafunzi wanaotarajiwa kuingia kidato cha tano mwaka huu.

Alisema kuwa mfumo huo utasaidia kuwezesha wahitimu wengi, waliofanya vizuri kupata nafasi za kuendelea na masomo huku pia shule nyingi zikiwa na uhakika wa kupokea wanafunzi.

DarNewsLINE
Hii kitu mbona sijaielewa!!! Kuwalipia ada wanaojiunga na shule binafisi halafu inakuwaje kwa wanaojiunga na shule za umma? Kama hiyo hela ya kugharimia masomo ya mwanafunzi anayejiunga shule binafisi ambazo gharama zake ni kubwa mno unashindwaje kusema elimu sasa ni bure? Halafu unategemea nani atajiunga na shule za umma kama anayeenda shule binafisi anagharimiwa ada?
Naomba ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom