Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Tumezidiwa na RwandaAidha, katika hatua nyingine, Silaa amesema Tanzania iko mbioni kurusha satellite yake, hatua itakayosaidia kuimarisha huduma za mawasiliano.
Dah kwaiyo unataka kusema sisi ambao paswedi zetu tumeweka MITANOTENA tupo hatarini kudukuliwaMtu anaweka password "Zuchu" kwenye page ya polisisiem aache kudukuliwa,Yaani kweli kabisa likubwa la polisi na miwani yake linainama kwenye desktop lina login..Zuuuchu 1234 linapiga enter😂😀
Ni suala la muda tuDah kwaiyo unataka kusema sisi ambao paswedi zetu tumeweka MITANOTENA tupo hatarini kudukuliwa