Huyu waziri anawaona Watanzania kuwa ni wapumbavu? Hajui kwamba polisi wake walivamia kanisa na kupiga na kumata waumini? Kwanini hili hajalitolea kauli mpaka leo?Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Innocent Bashungwa ameeleza kupokea barua iliyoandikwa na kampuni ya uwakili ya Tan Africa Law, ikimuwakilisha mteja wake ambaye ni Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church, wakipinga kufutwa kwa usajili wa kanisa hilo.
"Baada ya kupitia barua hiyo nimeshindwa kuendelea na rufaa hiyo kwasababh barua inayodaiwa kuwa ndiyo msingi wa rufaa ni barua ambayo siyo halali na haitambuliki na wizara hasa kwa kuzingatia kuwa barua hiyo haijasainiwa na Msajili wa Jumuiya za kiraia hivyo ni dhahiri kuwa barua hiyo inakosa uhalali na nguvu ya kisheria kuitwa maamuzi yanayopaswa kukatiwa rufaa dhidi ya sheria ya Jumuiya, hivyo kunifanya nishindwe kuendelea na rufaa yako."
Sambamba na hilo, barua hiyo iliyotumwa na Wizara kwenda kwa Kampuni ya uwakili ya Tan African Law, inaeleza kuwa kanisa lililofutiwa usajili ni Kanisa la Glory of Christ church/ Kanisa la ufufuo na uzima wakati mleta rufaa ni Glory of christ Tanzania church." Imesema barua iliyosainiwa na Waziri Bashungwa.
Source: Jambo TV
Wakishtakiwa wao watasema tu wale hawakuwa polisi.sasa wale wajinga na mapunguani polis pale wanafanya nn?!
Wametumwa na mwenye genge la watekajisasa wale wajinga na mapunguani polis pale wanafanya nn?!
huyu anatumija kijinga sana. na leo alikuwa akilandalanda maeneo ya kanisani kwa GwajimaNani anempa oda yule mbwa wao murilo?!
Nadhani sisi Watanzania wa kawaida ndiyo tatizo namba moja. 99% wanakubalije kuburuzwa kipumbavu na 1%?Hii nchi ya kifala sana aisee!
Naona aibu sana kuwa mtanzania.
Hii nchi ina vituko kweli kweliWaziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Innocent Bashungwa ameeleza kupokea barua iliyoandikwa na kampuni ya uwakili ya Tan Africa Law, ikimuwakilisha mteja wake ambaye ni Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church, wakipinga kufutwa kwa usajili wa kanisa hilo.