PreGE2025 Serikali yakana kufungia Kanisa la Gwajima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kama inasema serikali inasaidiana ma mahakama hopo tuhisi vipi? Jibu lipo.
 
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Innocent Bashungwa ameeleza kupokea barua iliyoandikwa na kampuni ya uwakili ya Tan Africa Law, ikimuwakilisha mteja wake ambaye ni Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church, wakipinga kufutwa kwa usajili wa kanisa hilo.

"Baada ya kupitia barua hiyo nimeshindwa kuendelea na rufaa hiyo kwasababh barua inayodaiwa kuwa ndiyo msingi wa rufaa ni barua ambayo siyo halali na haitambuliki na wizara hasa kwa kuzingatia kuwa barua hiyo haijasainiwa na Msajili wa Jumuiya za kiraia hivyo ni dhahiri kuwa barua hiyo inakosa uhalali na nguvu ya kisheria kuitwa maamuzi yanayopaswa kukatiwa rufaa dhidi ya sheria ya Jumuiya, hivyo kunifanya nishindwe kuendelea na rufaa yako."

Sambamba na hilo, barua hiyo iliyotumwa na Wizara kwenda kwa Kampuni ya uwakili ya Tan African Law, inaeleza kuwa kanisa lililofutiwa usajili ni Kanisa la Glory of Christ church/ Kanisa la ufufuo na uzima wakati mleta rufaa ni Glory of christ Tanzania church." Imesema barua iliyosainiwa na Waziri Bashungwa.

Source: Jambo TV
Hapa ndiyo najifunza kuwa elimu ya Tanzania imekaa mtindo wa kulinda maslahi ya wahuni wachache
 
Nahisi shida iko hapaa...

HIVI KANISA LINALODAIWA LA ASKOFU GWAJIMA KUFUNGWA, LIMESAJILIWA KWA JINA GANI HUKO KWA MSAJILI?

Maana naona issue ni kama kuna utofauti wa majina hivi.
 
🇹🇿 :FeelsRareMan::FeelsStrongJAM:
images (27).jpeg
 
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Innocent Bashungwa ameeleza kupokea barua iliyoandikwa na kampuni ya uwakili ya Tan Africa Law, ikimuwakilisha mteja wake ambaye ni Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church, wakipinga kufutwa kwa usajili wa kanisa hilo.

"Baada ya kupitia barua hiyo nimeshindwa kuendelea na rufaa hiyo kwasababh barua inayodaiwa kuwa ndiyo msingi wa rufaa ni barua ambayo siyo halali na haitambuliki na wizara hasa kwa kuzingatia kuwa barua hiyo haijasainiwa na Msajili wa Jumuiya za kiraia hivyo ni dhahiri kuwa barua hiyo inakosa uhalali na nguvu ya kisheria kuitwa maamuzi yanayopaswa kukatiwa rufaa dhidi ya sheria ya Jumuiya, hivyo kunifanya nishindwe kuendelea na rufaa yako."

Sambamba na hilo, barua hiyo iliyotumwa na Wizara kwenda kwa Kampuni ya uwakili ya Tan African Law, inaeleza kuwa kanisa lililofutiwa usajili ni Kanisa la Glory of Christ church/ Kanisa la ufufuo na uzima wakati mleta rufaa ni Glory of christ Tanzania church." Imesema barua iliyosainiwa na Waziri Bashungwa.

Source: Jambo TV
Inawezekana ni kweli iko mamlaka nyingine juu yake iliyowatuma wafunge kanisa bila yeye Bashungwa kujua.So tusimlaumu
 
Waziri mbona anajitoa ufahamu, kanisa liliofungwa ndio hilohilo la glory, kwani kuna kanisa jingine lilofungwa?
 
Mapolisi wanao zuia watu kuabudu wametumwa na nani? Wapo chini ya wizara gani? Asilete ubabaishaji huyu
TUTAFAKARI KWA PAMOJA. Je,ni Rais kawatuma au waziri au katibu. Kama ni hivyo je huyo Rais au Waziri au Katibu angejisikiaje kusikia sehemu yake ambayo anaamini Mungu yupo na anatenda yale aombayo yanajibiwa. Ghafla anambiwa hatakiwi kuwepo hiyo sehemu. HII DHAMBI ITAMUANGAMIZA YEYOTE AMBAYE HAAMINI NGUVU YA MUNGU PIA ATAKUFA. JIANDAENI KUSIKIA VIFO VYA VIONGOZI WAKUBWA AMBAO WANAMKAATAA MUNGU KUPITIA YESU KRISTO. HATA BABA WA TAIFA MWALIMU J.K.NYERERE VIFO VYAO KAKUBALI. MAANA HAWATAKI KUFUATA HAKI NA KUREKEBISHA SHERIA AMBAZO HAZITENDI HAKI
Ngoja tusubiri nguvu ya Mungu kupitia kwa mwanae Yesu Kristo
 
Huu ni uhuni umetumika ili kanisa liendelee kufungiwa. Hata hiyo barua imeandikwa kimkakati. Walijua ikiandikwa barua halali wakati hawana sababu halali za kufungia kanisa, waziri/mahakama ingelazimika kutengua. Hivyo solution ikawa ni barua feki halafu wawe wanaikana huku polisi ikizuia bila kuogopa kuvunja amri ya mahakama au mamlaka nyingine.
 
Wale pi
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Innocent Bashungwa ameeleza kupokea barua iliyoandikwa na kampuni ya uwakili ya Tan Africa Law, ikimuwakilisha mteja wake ambaye ni Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church, wakipinga kufutwa kwa usajili wa kanisa hilo.

"Baada ya kupitia barua hiyo nimeshindwa kuendelea na rufaa hiyo kwasababh barua inayodaiwa kuwa ndiyo msingi wa rufaa ni barua ambayo siyo halali na haitambuliki na wizara hasa kwa kuzingatia kuwa barua hiyo haijasainiwa na Msajili wa Jumuiya za kiraia hivyo ni dhahiri kuwa barua hiyo inakosa uhalali na nguvu ya kisheria kuitwa maamuzi yanayopaswa kukatiwa rufaa dhidi ya sheria ya Jumuiya, hivyo kunifanya nishindwe kuendelea na rufaa yako."

Sambamba na hilo, barua hiyo iliyotumwa na Wizara kwenda kwa Kampuni ya uwakili ya Tan African Law, inaeleza kuwa kanisa lililofutiwa usajili ni Kanisa la Glory of Christ church/ Kanisa la ufufuo na uzima wakati mleta rufaa ni Glory of christ Tanzania church." Imesema barua iliyosainiwa na Waziri Bashungwa.

Source: Jambo TV
Sasa wale mapolisi leo walikuwa wanafanya nini pale kanisani. *** that
 
TUTAFAKARI KWA PAMOJA. Je,ni Rais kawatuma au waziri au katibu. Kama ni hivyo je huyo Rais au Waziri au Katibu angejisikiaje kusikia sehemu yake ambayo anaamini Mungu yupo na anatenda yale aombayo yanajibiwa. Ghafla anambiwa hatakiwi kuwepo hiyo sehemu. HII DHAMBI ITAMUANGAMIZA YEYOTE AMBAYE HAAMINI NGUVU YA MUNGU PIA ATAKUFA. JIANDAENI KUSIKIA VIFO VYA VIONGOZI WAKUBWA AMBAO WANAMKAATAA MUNGU KUPITIA YESU KRISTO. HATA BABA WA TAIFA MWALIMU J.K.NYERERE VIFO VYAO KAKUBALI. MAANA HAWATAKI KUFUATA HAKI NA KUREKEBISHA SHERIA AMBAZO HAZITENDI HAKI
Ngoja tusubiri nguvu ya Mungu kupitia kwa mwanae Yesu Kristo
Hao hawa mwamini Mungu wachawi/mashetani hao sio poa mkuu. Wanakesha kwa waganga wakiwanga hawamjui Mungu
 
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Innocent Bashungwa ameeleza kupokea barua iliyoandikwa na kampuni ya uwakili ya Tan Africa Law, ikimuwakilisha mteja wake ambaye ni Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church, wakipinga kufutwa kwa usajili wa kanisa hilo.

"Baada ya kupitia barua hiyo nimeshindwa kuendelea na rufaa hiyo kwasababh barua inayodaiwa kuwa ndiyo msingi wa rufaa ni barua ambayo siyo halali na haitambuliki na wizara hasa kwa kuzingatia kuwa barua hiyo haijasainiwa na Msajili wa Jumuiya za kiraia hivyo ni dhahiri kuwa barua hiyo inakosa uhalali na nguvu ya kisheria kuitwa maamuzi yanayopaswa kukatiwa rufaa dhidi ya sheria ya Jumuiya, hivyo kunifanya nishindwe kuendelea na rufaa yako."

Sambamba na hilo, barua hiyo iliyotumwa na Wizara kwenda kwa Kampuni ya uwakili ya Tan African Law, inaeleza kuwa kanisa lililofutiwa usajili ni Kanisa la Glory of Christ church/ Kanisa la ufufuo na uzima wakati mleta rufaa ni Glory of christ Tanzania church." Imesema barua iliyosainiwa na Waziri Bashungwa.

Source: Jambo TV
Ngonjera ni kazi ya CCM tuache waendelee.
 
Kuna mambo kwenye hii nchi yanastaajabisha sana. Sasa kama anakana hawajalifungia kanisa lake, kwa nini polisi wanawafanyia vurugu hao waumini wa Gwajima kusali kwenye makanisa yao?
 
Sielewi kama naota au vipi kama kanisa la Gwajima halijafungiwa mbona leo polisi walikwenda huko na kowasambaratisha waumini wa kanisa hilo tena kwa kuwapiga mabomu
 
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Innocent Bashungwa ameeleza kupokea barua iliyoandikwa na kampuni ya uwakili ya Tan Africa Law, ikimuwakilisha mteja wake ambaye ni Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church, wakipinga kufutwa kwa usajili wa kanisa hilo.

"Baada ya kupitia barua hiyo nimeshindwa kuendelea na rufaa hiyo kwasababh barua inayodaiwa kuwa ndiyo msingi wa rufaa ni barua ambayo siyo halali na haitambuliki na wizara hasa kwa kuzingatia kuwa barua hiyo haijasainiwa na Msajili wa Jumuiya za kiraia hivyo ni dhahiri kuwa barua hiyo inakosa uhalali na nguvu ya kisheria kuitwa maamuzi yanayopaswa kukatiwa rufaa dhidi ya sheria ya Jumuiya, hivyo kunifanya nishindwe kuendelea na rufaa yako."

Sambamba na hilo, barua hiyo iliyotumwa na Wizara kwenda kwa Kampuni ya uwakili ya Tan African Law, inaeleza kuwa kanisa lililofutiwa usajili ni Kanisa la Glory of Christ church/ Kanisa la ufufuo na uzima wakati mleta rufaa ni Glory of christ Tanzania church." Imesema barua iliyosainiwa na Waziri Bashungwa.

Source: Jambo TV
Wanataka kumnyamazisha hadi uchaguzi upite. Ni mbinu hizo hizo zinatumika kwa wapinzani wote wa ukweli Tanzania.
 
Back
Top Bottom