johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waziri Mkuu Mh Majaliwa amesema serikali haiwezi kukubali kurudiwa kwa uchaguzi wa serikali za mitaa kama ilivyoombwa na Chadema kwa sababu kila uchaguzi una kanuni na taratibu zake.
Majaliwa amesema Wagombea wa Chadema ndio waliopaswa kulalamika na kukata rufaa kwa mujibu wa sheria na sio Mbunge kuja kuomba bungeni uchaguzi urudiwe.
Chanzo: ITV habari!
Majaliwa amesema Wagombea wa Chadema ndio waliopaswa kulalamika na kukata rufaa kwa mujibu wa sheria na sio Mbunge kuja kuomba bungeni uchaguzi urudiwe.
Chanzo: ITV habari!