johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nafasi ipi hiyo mbadala bwashee?Chadema washachelewa sana katika hili,walitakiwa watumie nafasi mbadala badala ya kususa.
Where can I mark your words!Mkakati ni mmoja tu..kutengeneza the only and only one ruling class for the whole life either by peace or by force,..naiona Tanzania yetu ikienda kugawanyika katika utwana na umangimeza. Kama wewe mwanao atasoma vipi lakn sio mwanachama wa Chama fulani basi hatapata nafasi ya kutumikia nchi yake...The ruling class will create the rulers not leaders!! Mark my words!! Inauma sana!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema sasa wanatapatapa!
Hiyo ni kwa mujibu wa kanuni bwashee!maana ya chama ni nini? bila chama hakuna mgombea tofauti na hapo ni batili... hakika mkoloni mweusi ni hatari sana.
Hahahaaaa.........!Fisiem Ndiyo tabia zenu vilaza nyie View attachment 1341469View attachment 1341470
Sent using Jamii Forums mobile app
That's all the man was trying to say. Do u see it to be healthy considering our way of ruling?Where can I mark your words!
Just take my simple advice, if you can't beat them, join them!
Hahahaaaa....... Chadema walibugi mbaya kuwatosa wagombea wao wa serikali za mitaa na sasa wabunge wamegoma kususia uchaguzi mkuu!
Walikurupuka tu!Huh! Walisusia uchaguzi wakiwa na "alternative" ya kuomba uchaguzi urudiwe? They must be joking!!!
Shida uwezo wa kufikiri wa uongozi uliopo ndio uliishia hapo. Hawana mawazo mbadala. Ndio maana tunawaambia wasipokuwa makini hata 2030 wasahau.Walikurupuka tu!
Sasa mkuu kwa Mbowe na Mnyika unategemea jipya lipi?!Shida uwezo wa kufikiri wa uongozi uliopo ndio uliishia hapo. Hawana mawazo mbadala. Ndio maana tunawaambia wasipokuwa makini hata 2030 wasahau.
Hahaha... Wanakula tu ruzuku.Sasa mkuu kwa Mbowe na Mnyika unategemea jipya lipi?!