Serikali yakiri kuachana na madai ya Tsh. Trilioni 360 za Makinikia

Mkuu, kama mahesabu ni 0.7 kg badala ya 7 kg bado tungekuwa tunadai x10 less ambayo ni 36 Trillion. Hiyo nayo ni pesa nzuri sana. Lakini ukweli ni kwamba yote ile ilikuwa ni fix tu... Sijui kwa faida ya nani......!! Mapropesa wa Jalalani (Mruma na Ossoro) ndiyo Chanzo, sijui wanawajibishwaje kwa kulidanganya Taifa pamoja na Rais.
 
Wewe pumbaf ni msemaji wa Waziri au wataalam wa Wizara ya fedha au ou punguwani mmoja tu usiye na jinsia yoyote ..kama watanzania wajinga Basi wewe ndie mjinga namba one
 
Una ushahidi jomba vinginevyo Sheria ya mtandao inakufuata ulipo
 
Wale maprofesa walimwingiza mwendazake cha kike naye akajaa. Eti Trilion 370! Mwisho wa siku wakapewa 700m na kusema ahsante na kufumba mdomo...
Labda nikuulize jomba..una takwimu za madini tangu mwaka 1995 ambazo zimeibiwa na kufekishwa. Kwenye makinikia..labda tuanzie hapo. Halaf tuambie umesoma mpaka darasa la ngapi..hapo ndio utajua hujui
 
How come???!!! Yani trillion 360 ndo ifanye tupate hisa 16% tuu..??? Si uchoko huo

Kama bajeti tu ya nchi kwa mwaka haijawahi fika 25tr!!

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Wewe unajua container la 20ft linafananaje kweli!
Yaani na wewe unaamini kabisa kuwa kwe copper concentrate (makinikia) ndani ya 20ft container kuna 0.7kg, seriously!!
Kwaiyo kwa akili yako ndogo unaona dhahabu 7kg ni nyingi ndani container la 20ft🤣🤣🤣.Hii nchi CCM itatawala miaka mingi sana,nchi imejaa watu wa ovyo, kwaiyo unaamini hesabu za mwizi kuliko za wataalaamu wetu.Hivi ata wakina Nyerere,Mandela,Nkrumah et al,wangekuwa wanasikiliza mawaidha ya mzungu kuwa hamuwezi kujitawala tungekuwa hapa tulipo.
Ata kama mnapewa bahasha,ni vyema mkawa mnaficha Upuuzi wenu ukouko!
 
Watanzania wengi wehu!

Kulitangazwa kwamba, serikali ijiandae kufilisiwa na Miga Kwa sabb hatua zilizofuatwa kuchunguza na kubanwa Kwa kampuni ya Barik inakwenda kinyume na sheria za kiuwekezaji dunianii na hivyo JPM ataliingiza taifa kwenye hasara kubwa

Matokeo yake b700 tumezikamba Kwa ujasiri wa JPM

Wengi wa watanzania hata ukijitoa kuwapigania utaambulia matusi na dhihaka!

Hatujui tunataka kiongozi wa aina gani,

Licha kuwa tumelamba hizo, bado watu mnadhihaki? Zilizobaki mkazidai na nyie
 
Kama ni deni ilitakiwa tudai Kodi kwenye hiyo Trillion 36
 

SWALI LILISABABISHA KIGUGUMIZI KWA WAZIRI MWIGULU LARUDIWA TENA BUNGENI.​

 
How come???!!! Yani trillion 360 ndo ifanye tupate hisa 16% tuu..??? Si uchoko huo

Kama bajeti tu ya nchi kwa mwaka haijawahi fika 25tr!!

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app

Basi msiuwe watu kujiweka madarakani , hamwezi kuongoza nchi ondokeni msimwage damu na kutia watu vilema baadaye mkaifisidi nchi. Ondokeni tujenge nchi
 
Maprofesa Mruma na Osoro walilazimishwa kuandika anachitaka yeye Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…