Serikali yakiri kuachana na madai ya Tsh. Trilioni 360 za Makinikia

Yaaa yaaaa yaaaa yaaaaa.

Tozo.

Duh.

Waziri wa fedha anayefanya ziara mikoani akisindikizwa na misafara ya boda boda.
 
Chuki binafsi tu, hakuna unachoelewa,Watanzania siyo wajinga kama wewe.
Watanzania walio wengi ni wajinga na wewe ni mmoja wapo. Hili Jukwaa siyo kiwango chako, rudi Facebook au ukiwa huku nenda mahusiano na Jamii. wewe Blackcornshman ni kichwa cha panzi huwezi elewa vitu vya humu
 
Kama kweli Accacia walienda mahakama za kimataifa wakashinda kesi,nikipi kilichoifanya Accacia ikafutiliwa mbali?na kwanini hatunyolewa na vipande vya chupa kama Lissu alivyokuwa akituogepesha kuwa watatunyoa kwa vipande vya chupa pasipo maji?Yote kwa yote Magufuli anabaki kuwa mshindi kwa hii vita,hata alisubutu,ingawa alikuwa anapigana hii vita na wasaliti wa nchi.
 
Watanzania walio wengi ni wajinga na wewe ni mmoja wapo. Hili Jukwaa siyo kiwango chako, rudi Facebook au ukiwa huku nenda mahusiano na Jamii. wewe Blackcornshman ni kichwa cha panzi huwezi elewa vitu vya humu
Nina uelewa mkubwa sanaaaaaaa, tena wa kimataifa siyo wa hisia na chuki binafsi kama wako wa vyeti feki.
 
"rejecting constructively"
 
Zao la mkoloni,kama nchi inavijana model hii tumepigwa na kitu kizito kichwani
 
Hoja ya vyeti feki ni dhaifu kwa kuwa Magufuli mwenyewe alikuwa na PhD feki
Bila kumtaja Mwamba hoja zako ni zero na chuki binafsi,una matatizo ya kisaikolojia,tafuta msaada haraka kabla ujapiga tukio la ajabu, watu washangae kwanini umebaka mtoto wa miaka miwili kumbe maskini mwenzetu mgonjwa wa akili.
 
Bora takataka zangu za jalalani kuliko mavi yako ya chooni
Sasa si bora wamepewa hizo biloni 700 pamona na kuundwa kwa mkataba mpya?

Haya niambie sasa hizi takataka zako zitafanya chochote kwenye madini yetu kweli?

Au ndio zitaruhusu yawe yanaondoka tu?
 
Aaah sikubali mimi nadai hela yangu nikanunuwe noah,au wewe wemzangu umesahau ahadi za noah?
 
Bila kumtaja Mwamba hoja zako ni zero na chuki binafsi,una matatizo ya kisaikolojia,tafuta msaada haraka kabla ujapiga tukio la ajabu, watu washangae kwanini umebaka mtoto wa miaka miwili kumbe maskini mwenzetu mgonjwa wa akili.
Kwa hiyo ndiyo tabia yako kubaka watoto? Binadamu huandika anachokipendelea
 
How come???!!! Yani trillion 360 ndo ifanye tupate hisa 16% tuu..??? Si uchoko huo

Kama bajeti tu ya nchi kwa mwaka haijawahi fika 25tr!!

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Yale madai hayakuwa sawa pamoja na Barrick hawakutana kupoteza zaidi
Hivyo wakaamua kukubali walipe 700bil kwa installments,

Tatizo ilifanywa siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…