Serikali yakopa Tsh. Bilioni 136.85 kwa ukarabati na upanuzi wa viwanja vinne vya ndege ili viwe na kiwango cha Kimataifa

Sasa wajenge vitu vizuri na sio kama kile kituko cha Songwe ambacho nacho kinaitwa intaneshino eapoti karne hii ya 21
 
mnatutia aibu yan unakopa pesa nying kwajili ya kiwanja cha ndege shinyanga, sumbawanga kiwe cha kimataifa!kwa tasmini gan 😅😅 nacheka kwa uzuni kwel mfano Dodoma maji shidah sasa unakopa fedha nyingi eti uwanja wa ndege shinyangaaaa sumbawanga uwe wa kimataifaa 😅 haya mawazo mnatowaga wapii ndugu zangu
 
Matumizi mabaya na fedha!! Hakuna soko la safari za kimataifa za kuhitaji viwanja vyote hivo, kama hata safari za ndani katika viwanja hivo ni mgogoro. Kuna ndege za kimataifa kutoka Nairobi kwenda Mwanza. Idadi ya abiria (kabla hata ya Covid19) ilikuwa ni taabu!

Ninatamani fedha hizo zingetumika kutengeneza public transportation networks katika miji ya Dodoma na Dar es Salaam. Kuna nafasi ya kuijenga Dodoma kisasa lakini inaendelezwa hovyo tu!!

Tuna tatizo la vipaumbele!!
 
Hakuna uwanja utajengwa huko.. hizi ni porojo.. fedha zimesha tumika kwenye kampeni.. mtanishykuru baadae
 
Tunatumia fedha zetu za ndani..😂😂😂😂
Kwani mkopo si unaulipa kwa pesa zako za ndani kwani wanakulipia? Mna uelewa finyu sana Chadema ngoja tumalizane na nyie October 28 mtakuwa kama TLP
 
Tembo weupe wanne wengine zaidi kama waliopo hawatoshi kuwa mzigo mzito kwa Watanzania mtu na mpwa wamelogewa madege kutumaliza. KIA, Uwanja mkubwa kuliko yote nchini, ina miaka karibu 50 ukanda mashughuri wa Kaskazini wa Utalii lakini Mikoa ya jirani na nchi haijanufaika kiuchumi ukibaki malisho ya mifugo ya Wamasai ambao hata kodi ya kugharamia matunzo hawalipi. Vivyo hivyo Reli ya TAZARA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…