Serikali yamwaga mashangingi: Hatujifunzi tu kutoka Rwanda jinsi Kagame anavyotawala?

Serikali yamwaga mashangingi: Hatujifunzi tu kutoka Rwanda jinsi Kagame anavyotawala?

We need our own Kagame

Date: 5th-September 2005

By James Munyaneza & Edwin Musoni
The New Times

Leaders and the general public should bear with the government’s decisions to auction government cars and to retrench some civil servants, President Paul Kagame said last Friday.

The President noted that the two policies were taken in the interest of all citizens, adding that the moves are expected to expedite the country’s economic development. Kagame was speaking shortly after the swearing-in of State Ministers Rose Mary Museminali (Cooperation) and Joseph Murekeraho (Primary and Secondary Education), and the newly-elected Kibuye woman MP Marie Rose Mureshyankwano at the Parliamentary Building in Kimihurura.

“Some of these decisions might not attract applause but certainly people have to understand that in the end, we shall all benefit,” Kagame told the fully-packed Parliament .

The President noted the retrenchment exercise which has been going on for nearly half a year now was intended to retain quality and well remunerated civil servants and urged Rwandans to support the policies that are taken for the good of the nation.

His remarks came barely two days after the Ministry of Infrastructure seized close to 1,000 government vehicles. The cars, which are due for auction, are packed at the Amahoro National Stadium.

The seizure last week, in which thousands of government drivers have lost their jobs, followed a similar one earlier this year, which particularly targeted luxurious government cars.

The government says the policy seeks to eliminate unnecessary costs from its expenditure portfolio and, almost all public services have been affected.

Recently, the Cabinet resolved that the labour ministry works out modalities under which the government will be hiring private cars to carry out most of its business. Meanwhile, Marie Rose Mureshyankwano was last Friday sworn-in as a Member of Parliament in the Chamber of Deputies, replacing Julian Kabanyana, who stepped down months ago amid Genocide charges.

Mureshyankwano was until her election to the August House a teacher at Rutsiro Secondary School in Rutsiro district in Kibuye province.

Last Wednesday, she swept the by-election with an overwhelming support of 77.2 per cent. The other candidates Marceline Nikuze and Therese Nyiragirimana polled 19.2 per cent and 3.6 per cent, respectively, while Florida Nyirahabimana withdrew her candidature at the eleventh hour. According to the Executive Secretary for National Electoral Commission Pierre Damien Habumuremyi, the exercise was free and fair.

“The Kibuye Electoral College has 1265 members, among these the considered ballots that came up were 1069 and there were no appeals raised after the election,” he said. Mureshyankwano joins Solange Tuyisenge in the House of Deputies, as the second woman representative from Kibuye province.
 
Huyu jamaa aliichukua nchi kijeshi ila anafanya mambo kiakili sana, sisi ndio kwanza tunaagiza mengine 800.
 
Huyu jamaa aliichukua nchi kijeshi ila anafanya mambo kiakili sana, sisi ndio kwanza tunaagiza mengine 800.

Kwa kuongeza ni kwamba ana mapenzi ya kweli kwa nchi na wananchi wake, tofauti na viongozi wetu wasanii.
 
Kwa kuongeza ni kwamba ana mapenzi ya kweli kwa nchi na wananchi wake, tofauti na viongozi wetu wasanii.

Naam na Wanyarwanda wanampenda kweli kweli maana wanaona mabadiliko makubwa ndani ya nchi yao. Siyo Mafisadi na waroho wa utajiri wa haraka haraka wanaofisadi Tanzania kila kukicha waliojaa ndani ya chama cha mafisadi na serikali.
 
yeah.. ushabiki wenu unasahau kuwa his country is the size of Manyara region.lol
 
- Huyu Kagame anatakiwa The Haque kujibu mashitaka ya kuua wananchi wengi sana, amehusika na kuua wananchi laki nane yaani wananchi 800,000 kwa kweli hata awe kiongozi safi lakini binafsi siwezi kumpa credit, mikono yake imejaa damu sana,

- Tizama waliyomfanyia majuzi anasafiri na Chief Protocol wake Wa-Germany wamemshika yule mama anayeitwa Rose Kabuye, na kum-extradite to France kwa kuhusika na mauaji ya Rais Habyalimana ambapo pia two French pilots waliuliwa, kwa hiyo ana kesi ya kuua pilots wawili na wananchi 800,000 wa Rwanda, sasa hivi anasota majela kule French, next time itakua yeye mwenyewe Kagame, huyu hafai kabisa wakuu akamatwe tu na kupelekwa The Haque nii muuuaji huyu, hana usafi wowote.
 
pinda kasema majuz kuwa watayapunguza. naamini watayakata kwa kias kikubwa. nina imani na hilo.
magari yenyewe aghali na running costs ziko juu. hasara tupu.

maguvu na maresorces kibao tunaelekeza kununua vitu vya starehe na aghali.
uwezo wetu mdogo wa kuchanganua mambo tukajua vitu vya muhimu zaidi ni vip na tukaweka maguvu yetu na maresources yetu kwa wingi huko.
 
MNAWAONEA viongozi wetu jamani. Kwani wangapi wamesoma uchumi, akauntingi, menejimenti na sayansi ya maamuzi. Wengi ninaamini ni vihiyo kwenye haya.

Semina na warsha bado zinahitajika. Lakini pia wakafungue macho kwenye nchi ambazo hazina mwendo wa kurudi kinyumenyume bali kila siku ni mbele tu pamoja na 'presha' hii ya masoko ya Magharibi na Mashariki kunyauka wakati hakuna jua!

Maana wasingelikuwa vihiyo basi tungeliwadhania mengine ambayo siwezi kutaja hapa. Tuwape tu nusura hiyo ya ukihiyo.

Ila kama alivyosema bwna mmoja uongozi wowote uwe wa familia, koo, kata, mtaa, kijiji, mji, wilaya, mkoa, kampuni, nchi inategemea ni nani yuko pale juu na ana visheni na misheni gani ya kimaendeleo ya wale anaowaongoza!

Ukiingia madarakani kama kina nani ili tu kujitajirisha wewe mwenyewe na vipanya vyako na wake zako na nyumba ndogo zako unazeeka na kufa ukisononeka achilia mbali laana na maapizo yatakayokusindikiza hadi kaburini. Yaani, watu watakuja kukuzika kisanii maana watakuwa wanasema mtazame huyu na mijimali yake yote anaishia kwenye 3 X 6. Kwisha. Wizi mtupu!!!! Wizi mtupu! Wizi mtupu!!"!!!!
 
Niliwahi kuandika hapa siku moja kwamba matumizi ya serikali kuu,serikali za mitaa na mashirika ya umma mengi hayana msingi.Ni watu wachache sana wenye uchungu na mapenzi ya dhati na nchi yao.Nafikiri tunaweza kuanza na hili la kupunguza matumizi kwenye recurrent expenditure na pesa nyingi zikaelekezwa katika matumizi ya maendeleo.Kitendo cha kutengwa pesa nyingi katika matumizi ya kawaida kinapelekea kuwepo kwa matumizi mengi yasiyo ya lazima.
 
TATIZO: SIASA ZA KURIDHIKA NA KURIDHISHANA

Ninaamini kwamba tatizo hapa ni siasa hizi za KURIDHIKA na kujaribu kudhirishana hata kwa yale yasiyostahili na yanayochangia watu wasiridhike katika mikoa mbalimbali nchini.

WATANZANIA vipofu na viziwi masikini wanakubali kuibiwa fedha zao wenyewe halafu wanapewa tujisenti vidogo wakati wa kampeni na wanaendelea kuwachagua wale wale wanaowaibia milioni na kuwapa elfu! Ajabu iliyoje hii!!!!

Hii ni nchi ya mataahira nini? Kuna hadithi kwamba kulikuwa na mama mmoja mjane mwenye watoto watatu. Akawapa watoto wote kila mtu kitu kama shilingi elfu moja moja na kuwaambia wazitumie kwa akili bila kufafanua.

Baada ya miezi mitatu akawauliza enhe hebu nipeni mahesabu yenu, mmefanyia nini ile elfu niliyowapa?

Wakwanza akasema nimeila yote (ndio serikali yetu baada ya kupokea kodi kutoka kwetu!); mama akamwambia ama wewe taahira kweli, kweli!

Wapili, akasema mimi sijagusa hata senti moja. Mama'ke akamwambia ama kweli hapa sina mwana. Wewe ndio mjinga wa mwisho afadhali hata ndugu yako wa kwanza.

Watatu, akawa mwoga kusema alichofanyia. Lakini baada ya kuhimizwa na mamaye akasema: 'Mama niliweka 500. Mia tano nikanunulia mananasi nikauza nakupata faida ya elfu moja.'

Doo! Mama aliruka kwa furaha utadhani msichana kigoli! Akasema: ' Hapa kwa hakika nina mtoto. Chukua na hizo elfu moja za huyo bwege kakuze biashara yako na hizi hapa elfu 3 nyingine na Mungu akuongoze vema mwanangu, utakuja kuwasaidia hawa ndugu zako.' Haukuchukua muda mama akafariki. Na hivyo alivyosema ndivyo ilivyokuwa!

NINACHOKIONA hapa ni kuwa tuna viongozi ambao wanajua tu KUTUMIA lakini ni wagumu, wavivu, wazito na mikaa ya mawe kama sio mawe kabisa katika KUTAFUTA AU KULIINGIZIA TAIFA NA KUWASAIDIA WATU KUINGIZA FEDHA.

Bila shaka hata waliokwiba hayo mabilioni hawakuwa na akili ya KUZALISHA. Walizipeleka tu kujenga nchi za wenzetu au kuwapa watu wengine mikopo ya riba kubwa!

Serikali yoyote inayostahili heshima ya watu wake ni lazima kwanza ijenge mazingira ya serikali yenyewe, taasisi mbalimbali na watu binafsi kutengeneza FEDHA kwa wingi iwezekanavyo kwa KUZALISHA au KUTOA huduma mbalimbali.

Kama bilioni 70 zingeliwekezwa kwa kutumia akili bilioni hizo hizo 70 kwa subira baada ya mwaka au miaka miwili zingelzaa bilioni 70 nyingine. Za mwanzo zikaendelea kuwa mtaji na ziada kidogo na hizi zilizozalishwa wakuu wakatanua nazo. Lakini, sivyo ilivyo. Watanzania, tena viongozi, dunia inatushangaa leo kwa KULA MBEGU!
 
Mimi ninavyojua Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu katika michezo;kumbe huko afadhali.Wendawazimu upo kwenye utawala wa nchi zaidi kuliko michezo.Huweze ukatumia fedha kiasi hicho katika anasa hapa naona Utani unachukua nafasi zaidi kuliko ukweli wa mahitaji halisi ya hayo magari na thamani yake.
Unajua sioni ulazima wa kuagiza magari yote hayo kwa wakati mmoja,mbaya zaidi ya kifahari;yaani wewe maskini halafu unakimbilia ufahari,hapa deni la serikali(taifa) lazima liongezeke.
Tusiichukie Tanzania ila tuwachukie viongozi wake.
 
- Huyu Kagame anatakiwa The Haque kujibu mashitaka ya kuua wananchi wengi sana, amehusika na kuua wananchi laki nane yaani wananchi 800,000 kwa kweli hata awe kiongozi safi lakini binafsi siwezi kumpa credit, mikono yake imejaa damu sana,

- Tizama waliyomfanyia majuzi anasafiri na Chief Protocol wake Wa-Germany wamemshika yule mama anayeitwa Rose Kabuye, na kum-extradite to France kwa kuhusika na mauaji ya Rais Habyalimana ambapo pia two French pilots waliuliwa, kwa hiyo ana kesi ya kuua pilots wawili na wananchi 800,000 wa Rwanda, sasa hivi anasota majela kule French, next time itakua yeye mwenyewe Kagame, huyu hafai kabisa wakuu akamatwe tu na kupelekwa The Haque nii muuuaji huyu, hana usafi wowote.

FM,
Hamna uhusiano wowote wa huyu bwana KUUWA, na kuendeleza nchi. Wafaransa ni WANAFIKI tu. Mtu wao aliuwawa basi leo wanajifanya kuwa wanauchungu na Wanyarwanda. Walikuwa wapi wakati watu milioni 1 wanakufa? Si walipeleka madege na kuchukua tu raia wao? Huyu Habyalimana na yeye alikuwa Looser tu. Huko aliko ni mahali pake, alale salama. Kagame yuko busy hadi Congo, kuiba ili Wanyarwanda wawe na hali nzuri. Hivi ndiyo wanafanya Wazungu miaka yote. Tanzania, viongozi wetu wako Busy kuhakikisha Wajapan viwanda vyao havifi. Utafikiri walitishiwa na bwana Tayota kuwa "msiponunua ma VX, nafunga kiwanda cha Toyota.." Kichekesho kikubwa ni kuwa huyu Tayota mwenyewe kwenda kazini anakwenda kwa Miguu ingawa Toyota ni kiwanda chake.
Nafikiri muda umefika kusema "Mugambire Mzungu Enough".
 
Nafikiri muda umefika kusema "Mugambire Mzungu Enough".

- Mkuu hapa umenivunja mbavu maana umenikumbusha nilipokuwa Bunazi, anyways hii ya a sitting Chief Protocol wake kukamatwa wakiwa safarini na yeye imenishitua sana,

- na hapa ninapoishi sasa hivi karibu yangu ninaishi na vijana wa Mrundi mmoja sasa hivi yuko jela Arusha, aliyekua aki-finance ile Genocide, duh mkuu niliyoyasikia kuhusu Kagame, ambaye sasa hivi moja ya nyumba zake iliwahi kuwa ya hii familia ya hawa vijana sina hamu naye kabisa,

Lakini ninakusikia kwamba uuaji wake hauna anything to do na uongozi wake bora na uliotukuka.
 
-
Lakini ninakusikia kwamba uuaji wake hauna anything to do na uongozi wake bora na uliotukuka.

FM,
Wanasema kuwa WANASIASA ni Malaya. Unachotakiwa ni kutafuta yupi ana nafuu. Katika pitapita madukani niliona hivi vifungo vya mashati na juu yake vimerembwa kwa alama tofauti tofauti kutokana na kazi ya mtu huyo. Mengine yana pikipiki, magari, ndege, helcopter nk. Kilichoniuwa mbavu ni kimoja maana kilikuwa kimeandikwa (In pair) ---- TRUST ME, I'M POLITICIAN.
Hivyo nikisema Kagame ni bora, maana yake KAGAME ANA NAFUU ukilinganisha na mfano Lansana Conté wa Guinea aliyefariki jana.
 
Date::12/24/2008
Kuacha magari ya kifahari iwe dhamira ya kweli
Mwananchi

TANZANIA ni nchi ya tatu kutoka mwisho katika mstari wa nchi zilizo maskini sana duniani, lakini kinachostaajabisha ni kwamba, matumizi ya serikali ni makubwa kuliko umaskini huo, huku matumizi mengine yakiwa hayana umuhimu.

Moja ya matumizi hayo yasiyo muhimu ni kitendo cha serikali kuwapa maafisa wake magari ya kifahari (mashangingi) ambayo yanaligharimu taifa mabilioni ya fedha ambazo zingeweza kuelekezwa katika sekta nyingine muhimu katika vipaumbele vya malengo ya milenia ya kupambana na umaskini.

Kama alivyosema Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwamba, mtu hafi kwa kuwa hapandi gari la kifahari, lakini anaweza kufa kwa kukosa chakula, serikali haina budi kutekeleza hilo kwa kuhakikisha kuwa watu wake hawafi kwa kukosa chakula kutokana na fedha zinazopatikana kuelekezwa kwenye matumizi ya kifahari.

Tumeshangaa kusikia kuwa, shehena ya zaidi ya magari 700 ya kifahari iko njiani kuja nchini baada ya kuagizwa na serikali. Tunashangaa kwa kuwa kelele za kupinga matumizi ya magari hayo hazikuanza leo na wala hazikuanza baada ya Waziri Pinda kueleza kuwa serikali imeamua kutotumia tena magari ya kifahari.

Tulijua kuwa, tamko la Waziri Pinda lilikuja baada ya kufanya tathmini ya kina na kuchukua hatua za dhati kusitisha uagizaji na matumizi ya magari hayo yanayotafuna fedha za walipakodi kwa bei yake na gharama za kuyatumia.

Kama serikali ilishatambua kuwa matumizi ya magari hayo ni kuwabebesha mzigo mzito walipakodi, basi ilistahili hata kusitisha uagizaji wake hata kama ilishaingia makubaliano na wauzaji kwa kuwa gharama za kusitisha uagizaji, zingekuwa ni ndogo kuliko mzigo wa gharama za matumizi ya magari hayo ya kifahari.

Ni kwa maana hiyo tunaishauri serikali, kama ina nia ya dhati ya kuwapunguzia mzigo wananchi, basi haina budi kuhakikisha kuwa inachukua hatua mara moja badala ya kuachia jambo linaloumiza wananchi lifanyike, "kwa mara ya mwisho."

Kusema tu kuwa shehena hiyo ni ya mwisho, hakutoshi kuonyesha kuwa serikali ina nia hiyo ya dhati. Kama ingeamua kuzuia utekelezaji wa uagizwaji wa magari hayo, ndio ingeonyesha umakini katika kuwapunguzia wananchi mzigo mkubwa walioubeba kwa muda mrefu kutokana na sera ambazo zilikuwa haziwajali walipakodi.

Tunaiomba serikali iendelee na mpango huo wa kupunguza matumizi yake, lakini tunaishauri kuchukua hatua mara moja pindi inapogundua kuwa kuna mikataba iliyokwishasainiwa ambayo inaiongezea gharama zisizo na msingi na hivyo kuwaumiza wananchi.
 
Hivyo nikisema Kagame ni bora, maana yake KAGAME ANA NAFUU ukilinganisha na mfano Lansana Conté wa Guinea aliyefariki jana.

- Mkuu wangu, juzi nilikuwa na hawa Warundi nikawauliza sana kuhusu Kagame, wakaniambia kwamba huyu ni mazishi sana, maana kwanza mshahara wake unazidi hata wa Bush, halafu mishahara ya wanaomzunguka haina mfano, halafu uzuri wa Rwanda kwa sasa uko Kigali tu, halafu wakulu wakawa very emotional,

- Kwamba amepiga marufuku wananchi wa vijijini kuingia mjini bila viatu, kwamba huko kwao kama una wanyama wa kufuga kama mbuzi na kuku, ni lazima wawe registered kwa serikali ukiamua kula kitoweo mmoja wapo ni lazima utoe taarifa kwa serikali na umlipie kodi, ole wako serikali igundue umekula mnyama wako bila kuiarifu, yaani nilitoka hapo kwa Warundi nimelewa bila kunywa mkuu!
 
Watanzania tuache kulalama bila sababu za msingi.tunadai kuwa watumishi serikalini hawaendi vijijini kuhimiza maendeleo.tunataka viongozi waende vijijini kusimamia maendeleo sasa unataka waende kwa kutumia punda.haya magari munayoita ya gharama gari gani ambalo sio gharama siku hizi landrover seris three hazipo siku hizi mbona watu wanakuwa hawaelewi chochote na kujifanya kujua hebu nieleze gari lililorahisi ni lipi ukilinganisha na ukubwa wa nchi hii ubovu wa barabara za vujijini nk.

Longa Mkuu, ni kweli umefika wakati tuwe wa kweli na kuacha kulalamika paspo na sababu za msingi. Ivo hiyo billiono 70 inatosha kuondowa matatizo yote hapa Tanzania?

Nionavyo mimi ni kuwa juu ya matatizo yetu bado tuna wajibika kutenga vijisenti kwa mambo ambayo wengine tunafikiria kuwa si ya msingi. Ivyo suala la usafiri si jambo la msingi kwa maendeleo ya nchi?
Watanzania tuachane na tabia ya kungoja hadi hali imeshakuwa mbaya kutokana na kutofikiria mambo ya baadae kwa kisingizio cha uchaguzi wa lipi lililo bora kufanya. Kwa hili tusingojee hadi viongozi wakalazimika kupanda mabasi na dala dala kwa ukosefu wa magari kwa kisingizio cha kuwa magari ni fahari hivyo tusinunue. Ni tabia yetu baadae kuja kulaumu kuwa serikali inajidhalilisha kwa kutokuwa na vitendea kazi visivyoendana na hadhi ya Taifa.
 
SIAMINI kwamba kuna uhusiano wowote kati ya wingi wa mashangingi wizara au idara iliyo nayo na ufanisi wake wa kazi.

In fact, kama JF ikiomba fedha toka serikal
ni ili tufanye utafiti wa chapu chapu hapa utagundua mambo ni kinyume cha hayo. Yaani, kadri wizara au idara ilivyo na mashangingi mengi ndivyo utendaji wake ulivyombovu zaidi. Cse in point, wizara ya kilimo!

Dawa kama Iga alivyotupasha ni kuuza magari kwa watumishi wa umma kama walivyouziwa nyumba na mzigo wa mafuta na matengenezo wasiendelee kubebeshwa walalahoi.

IIli kuondoa misongamo mjini aidha ingelifaa wizara zikodishe mabasi ya KIstaarabu kwa wafanyakazi wake badala ya kila mtu kukopeshwa gari. Wale wenye akili na wanaojua mzigo wa walalahoi wanaowabebesha wata opt kwa hili, yaani,, kwenda na kurudi kazini kwa kutumia mabasi yanayokodishwa mahsusi kwa ajili yao na idara au wizara.

Mabasi hayo yawe ya kiwango cha kimataifa ili daladala ziwe na mfano wa kuiga ......kwa faida ya walalhoi.
 
Sijui gharama za kujenga barabara kwa sasa ni kiasi gani. Kwa miaka kama kumi iliyopita ilikuwa 200 million kwa km. Hivyo ukisema ghalama imeongezeka kwa mara tano hizo peas zingeweza kujenga km 700 kwa kiwango cha rami. Umbali wa kutoka Dar mpaka Arusha. Kama wangezitumia kujenga barabara za mijini basi Dar barabara zote zingekuwa za rami.

Shame on you JK na Serikali yako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ndiyo maana nina wasiwasi sana kuwa kuna hatari viongozi hawa wakauza nchi yetu kwa vile hawajui watendalo, na wala hawajui ni lipi bora kwa nchi yetu. Watakurupuka na kusaini mikataba ya kuuza nchi yetu kwa nchi jirani wakati wowote bila ridhaa yetu kama walivyofanya akina Chifu Mangungo kwa Carl Peters miaka hiyo; wanachohitaji ni kuhakikishiwa ulaji tu.
 
Back
Top Bottom