TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,563
Wangewapa viwanja wale waliowavunjia nyumba na hawana pa kulala now uyo anauwezo wa kununua kiwanja kwa sasa wangempa tu zawadi nyingineKama ni kweli wamefanya vzr italeta morali hata kwa wachezaji wengine kujituma wawapo kazini hili ndoto zao ziweze kutimia
WanaJF,
Serikali kupitia wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi imemzawadia Mbwama Samatta kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 1200 (High Density) chenye thamani ya pesa za kitanzania milioni 20 maeneo ya Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Zawadi hiyo imefuatia heshima kubwa ambayo kijana Mbwana Samatta ameipatia taifa kwa kushinda tuzo la mwana soka bora wa mwaka kwa wachezaji wa ndani ya Afrika.
Akizungumza na chanzo chetu cha habari waziri mwenye dhamana ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi ameeleza kuwa, kijana Samatta hakika anastaili kupata zawadi hiyo kutoka kwa serikali kwa heshima kubwa ambayo ameipatia Tanzania hususani kwenye soka la kimataifa.
Aidha, wadau mbalimbali wa soka wametoa hisia zao juu ya zawadi hiyo iliyotolewa na serikali kwa kijana Samatta kwa kusema kuwa, zawadi hiyo ya kiwanja inakuwa kama chachu kwa vijana wengine wa Kitanzania kujibidiisha zaidi katika sanaa na michezo kwa kuamini kuwa serikali ya awamu ya tano inathamini kazi zao.
Uko sawa ila kumbuka na muda hiyo bei ni wakati ule inauzwa kwa mara ya kwanza sasa muda umepita na thamani imeongezeka na watu wanavilipia kodi. Utakuwa unakumbuka vizuri ila umesahau na muda pia ni mali chukua hii
hivi serikali Kwanini isituuzie sisi viwanja maana tunatapeliwa viwanja vya mabondeniWanaJF,
Serikali kupitia wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi imemzawadia Mbwama Samatta kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 1200 (High Density) chenye thamani ya pesa za kitanzania milioni 20 maeneo ya Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Zawadi hiyo imefuatia heshima kubwa ambayo kijana Mbwana Samatta ameipatia taifa kwa kushinda tuzo la mwana soka bora wa mwaka kwa wachezaji wa ndani ya Afrika.
Akizungumza na chanzo chetu cha habari waziri mwenye dhamana ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi ameeleza kuwa, kijana Samatta hakika anastaili kupata zawadi hiyo kutoka kwa serikali kwa heshima kubwa ambayo ameipatia Tanzania hususani kwenye soka la kimataifa.
Aidha, wadau mbalimbali wa soka wametoa hisia zao juu ya zawadi hiyo iliyotolewa na serikali kwa kijana Samatta kwa kusema kuwa, zawadi hiyo ya kiwanja inakuwa kama chachu kwa vijana wengine wa Kitanzania kujibidiisha zaidi katika sanaa na michezo kwa kuamini kuwa serikali ya awamu ya tano inathamini kazi zao.
High density 12,000 SQ KM??? Hii maana yake nini?
yeye nae msenge tu aache kudedicate kwa babake anadedicate kwa wapita njia.asingezaliwa saa ngapi angeonwa na huyo muuza sura.Wewe wasema hayo, lakini Mbwana Samatta ame-dedicate tuzo yake kwa rais mstaafu Jakaya Kikwete. Kwa maana kuwa anatambua mchango wa rais katika mafanikio yake kisoka. Majungu sio mtaji. Jifunze kukubali tu.
Mkuu unaifahamu Kigamboni vyema? Hiyo mbona bei ndogo sana? Kuna maeneo ambayo bei zake ni mpaka 70,000 kwa square meter na hata zaidi.Vipi kuna ten percent au macho yangu?
Hivi viwanja si bei ya juu kwa kila mita za mraba silikuwa 10.000tsh ? Wadau mtanisaidia kama sikumbuki vizuri!
Kwa maana hiyo ingekuwa dhamani ya 1200x10000= 12.000.000tsh
Mkuu, ufukweni inarange kati ya laki moja na nusu hadi laki 5 kwa square meter kutegemeana na location Kigamboni.Thamani ya juu kwa mita mraba moja iwe Tshs 10,000 kwani umesikia Kigamboni ni Mbinga?
Thamani ya juu inafika mpaka Tshs 20,000 kwa mita mraba moja siku hizi. Na kwa yale maeneo ya ufukweni inafika hadi Tshs 25,000 kwa mita mraba moja.
Mkuu unaifahamu Kigamboni vyema? Hiyo mbona bei ndogo sana? Kuna maeneo ambayo bei zake ni mpaka 70,000 kwa square meter na hata zaidi.