Serikali yamzawadia Mbwana Samatta Kiwanja Maeneo ya Kigamboni!

This is n

This does not motivate Samatta.

Tulishaambiwa ana viwanja 10, na kingine kajenga msikiti.

Something else apart from this could sound better.

Apewe appartment Morrocco square au Kawe!

Si hilo pori Kigamboni.
 
Nazungumzi Serikali kuuza kwa Bei hiyo iwe Kigamboni,mwanza au Mbeya-maana nilitegemea kuwa ingewawezesha walalahoi kupata Mahala pakujisitiri . Kwa Biashara kama Biashara hiyo Bei sishangai hata kidogo!
Yapo maeneo ya bei rahisi kabisa Kigamboni na makubwa kuliko hilo la Samatta, tatizo watu hawajiongezi na pia wanaogopa kukaa shamba. Kuna square maeneo unapata kuanzia robo heka hadi heka nzima kwa bei zinazoanzia milioni 2 hadi 8, mradi usiwe mchaguaji sana na maendeleo yamesogea sana tu.
Kila mtu akisubiri kufanyiwa kila kitu na Serikali, atasubiri sana maana Ina wengi wa kuhudumia.
 

Huko sasa ndiyo shida inakoanzia -umepata kusika ujenzi holela?
Hiyo robo heka kesho mhusika analigawa 15x15 mita na kumuuzia mwingine mwisho wa siku hata njia ya waenda kwa miguu inakuwa shida. Na hapa ndipo nguvu ya Serikali katika kufanya upimaji ina hitajika ili kuondoa hali hii nadhani umenipata!
 
Lakini, unaponunua ardhi unapaswa kuichinguza kwa kutumia wataalamu wa wizara ili ujue mipango miji ikoje katika eneo husika na kama paliwahi kupimwa na kumilikiwa kabla yako. Hiyo humsaidia mnunuzi kufanya maamuzi sahihi katika manunuzi ya ardhi, jambo ambalo litamlinda mbeleni.
Sio jukumu la serikali kukukumbusha hilo.
 

Anyway hatuko kapu mmoja kama unadhani kwa mipango miji ya makabatini tutafika hongera.
Mfano una heka mmoja na mpango mjii unasema hapo ni Makaazi lakini hapajapimwa kwa hiyo ujipinde ukapime siyo?. Jiulize ni wangapi wataweza hizo gharama?
Uwezo wa Watu wengi siyo kama unavyodhani wewe na ndiyo maana 20.000.000tsh kwa 1200 mita za mraba kwa asilimia kubwa ya watanzania hiyo ni pesa nyingi maana hapo bado ujenzi!
Unazungumzia mbeleni wakati wengine wanahitaji sasa hivi kwa maana wameshachoka kulipa pango na mbaya pesa kiasi hicho hawana! Kwa hiyo hata sehemu ya chumba kimoja mtu anajenga na kujibanza hapo na ndiyo hili la uholela.
 
This is n


This does not motivate Samatta.

Tulishaambiwa ana viwanja 10, na kingine kajenga msikiti.

Something else apart from this could sound better.

Apewe appartment Morrocco square au Kawe!

Si hilo pori Kigamboni.

Wangempatia eneo inayotosha kujenga chuo cha Mpira huko mbele ya safari?
 
Hivi Diamond Platinumz amewahi kupewa zawadi yoyote na serikali kwa namna anavyoipeperusha vema bendera ya Tanzania kupitia muziki wake?
 
Ndio tatizo la wengi, mnapigwa sana na wajanja. Hebu soma hapo chini:

Lukuvi ashusha kodi ya ardhi
NA MWANDISHI WETU, DODOMA
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amesema wizara yake imehuisha viwango vya kodi, ada na tozo mbalimbali za ardhi kwa lengo la kupata viwango vinavyopangika.
Lukuvi alitoa kauli hiyo bungeni mjini Dodoma jana, wakati akiwasilisha makadirio na matumizi ya wizara yake kwa mwaka 2015/16.
Alisema kodi ya pango la ardhi imepungua kwa wastani wa asilimia 30 na viwango vingine vinavyomgusa mwananchi wa kawaida vimepungua kwa asilimia 50 au zaidi.
“Kwa mfano kodi ya kupima mashamba imepungua kwa asilimia 60, kutoka Sh 1,000 hadi Sh 400, na mashamba ya biashara imepungua kwa asilimia 50 kutoka Sh 10,000 hadi Sh 5,000 kwa ekari.
“Ada ya upimaji ardhi imepunguzwa kwa asilimia 62.5 kutoka Sh 800,000 hadi Sh 300,000 kwa hekta, nyaraka za tahadhari na vizuizi vimepunguzwa kwa asilimia 66.7 kutoka Sh 120,000 hadi Sh 40,000, nyaraka za ubadilishaji wa majina zimepunguzwa kwa asilimia 62.5 kutoka Sh 80,000 hadi Sh 30,000.
“Vilevile gharama za kupata nakala ya hukumu kwenye mabaraza ya ardhi zimepungua kwa asilimia 62.5 kutoka Sh 16,000 hadi Sh 6,000, ada ya kuomba umiliki wa ardhi imepungua kwa asilimia 75 kutoka Sh 80,000 hadi Sh 20,000,” alisema.
Aidha Lukuvi alisema pia ada za maandalizi ya hati imepunguzwa kwa asilimia 68.8 kutoka Sh 160,000 hadi Sh 50,000 ambapo viwango vyote hivyo vitaanza kutumika Julai Mosi mwaka huu.
Kwa upande wa tozo la mbele, kwa mwaka wa fedha 2015/16 itapungua kwa asilimia 50 kutoka asilimia 15 ya kiwango cha sasa hadi asilimia 7.5 ya thamani ya ardhi na kiwango hicho ndicho kitakacholipwa kwa mashamba na viwanja wakati wa kumilikishwa.
Kuhusu uendelezaji wa mji mpya wa Kigamboni, alisema Serikali imefanya mapitio na kurekebisha matangazo yake ambapo eneo la mpango limepunguzwa kwa kuondoa kata tatu za Pembamnazi, Kisarawe II na Kimbiji zenye ukubwa wa hekta 44,440 ambazo hazitakuwapo kwenye mpango, hivyo kubakia na kata sita zenye ukubwa wa hekta 6,494.

Mtanzania
 
Vipi kuna ten percent au macho yangu?
Hivi viwanja si bei ya juu kwa kila mita za mraba silikuwa 10.000tsh ? Wadau mtanisaidia kama sikumbuki vizuri!
Kwa maana hiyo ingekuwa dhamani ya 1200x10000= 12.000.000tsh
thamani sio dhamani
 
yeye nae msenge tu aache kudedicate kwa babake anadedicate kwa wapita njia.asingezaliwa saa ngapi angeonwa na huyo muuza sura.
...sawa we rijali nawe kanunue chako ukidedicate kwa mseng.e babaako!!!
 
HAMY-D Nadhani hapo kwenye "high density" ulimaanisha "low density" maana hizo mita mraba ulizoweka si sahali kuwa high density.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…