Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Sintofahamu ya uhaba wa Dola umejibiwa kiasa na wasio wanasiasa na wenye mamlaka huku hali halisi ni kwamba mabenko ama hayana dola ama yanazo lakini ymehodhi kwa sababu wajuazo wenyewe.
Pesa ya Turkey iliporomoka zaidi ya Asilimia 💯 dhidi ya Dola na mfumuko wa bei ni zaidi ya Asilimia 70% lakini maisha yanaendelea.
TIC-[TANZANIA INVESTMENT CENTRE] hawa wanatoa control number kwa dola.
KINAPA/TANAPA- Wanalipisha kwa dola.
BRELA:- Kwa baadhi ya huduma wanalipisha kwa dola .
Makampuni mengi ya real estate inalipisha kwa dola.
Tufike pahala tuseme imetosha, nafikir wadau tumpe mheshimiwa Rais Samia Jina lingine la mbunge ambaye anatoshea kwenye nafasi ya Mwigulu[japo wote wana dhambi ya wizi wa kura], basi tumpe hata JINA NA MENEJA WA BENKI BINAFSI ateuliwe ubunge maalum then apewe uwaziri wa FEDHA.
LEO hii , kupata dola ni kupitia black market za posta na kariakoo wale wenzetu asili ya ASIA wana dola nyingi ila dola moja wanauza kwa 2750/-