Zack Abdul JF-Expert Member Joined Mar 9, 2026 Posts 1,194 Reaction score 911 Sep 24, 2026 #1 Bajeti ya mikopo na ruzuku kwa wanafunzi wa elimu ya juu imeongezeka hadi Shilingi trilioni 1.06, hatua inayolenga kuongeza fursa kwa wanafunzi wengi zaidi kupata elimu ya juu na kupunguza changamoto za kifedha kwa wanafunzi na familia zao.
Bajeti ya mikopo na ruzuku kwa wanafunzi wa elimu ya juu imeongezeka hadi Shilingi trilioni 1.06, hatua inayolenga kuongeza fursa kwa wanafunzi wengi zaidi kupata elimu ya juu na kupunguza changamoto za kifedha kwa wanafunzi na familia zao.