The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Serikali imependekeza marekebisho kwenye Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (Maudhui Mtandaoni) ili kupunguza kwa kiasi kikubwa ada za leseni. Hatua hii inalenga kuwapunguzia mzigo wa kifedha vijana wengi wanaojishughulisha na uzalishaji wa maudhui ya mtandaoni nchini.
Mabadiliko ya ada hizo mpya yapo kama ifuatavyo:
Leseni ya Huduma za Maudhui (Online Content): Ada ya maombi imeshuka kutoka Shilingi 50,000 hadi Shilingi 10,000, huku ada za mwanzo, za mwaka, na za kuhuisha leseni zikishuka kutoka Shilingi 500,000 hadi Shilingi 50,000.
Leseni ya Watengeneza Maudhui (Online Content Aggregator): Ada ya maombi imeshuka kutoka Shilingi 100,000 hadi Shilingi 20,000, wakati ada za mwanzo, za mwaka, na za kuhuisha zikipunguzwa kutoka Shilingi 1,000,000 hadi Shilingi 100,000.