ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
17 tril ni za kukopa au wahisani. Maana makusanyo ni 40TrilPesa imewahi kutosha? Makusanyo yaliyowekwa kwenye Bajeti ndio hayo ya 57Trilioni.
Achaga kuwa mjinga,haihitaji kupika data,angalia matokeo ya kilichopangwa kama kimetekelezwa au hapana.Bajeti inayosha imetekelezeka kwa asilimia ngapi? Ruksa kupika data.
Wahisani ndio kina nani? Serikali itakopa hiyo hela nyingine ndani na Nje,mikopo ya biashara na riba nafuu.17 tril ni za kukopa au wahisani. Maana makusanyo ni 40Tril
Ila tukiacha siasa za kuendekeza wapiga kura walipa kodi watakuwa wengi.
Ni swala la TRA kuongea na NIDA, kila mwenye NIDA atumiwe taarifa kuwa amesajiliwa kama mlipa kodi kwa NilIDA yake
Nasema hivi, kupika data ruksa.Achaga kuwa mjinga,haihitaji kupika data,angalia matokeo ya kilichopangwa kama kimetekelezwa au hapana.
Mwisho Subiria taarifa Bunge la Bajeti likianza mwezi wa 4
🚮🚮Nasema hivi, kupika data ruksa.
Na hilo ndio swali gumu.Je makusanyo yatatosha?
Kwani wewe ulitegemea nini kibadilike?Hata watumie trillion 300 hakuna kitakachobafilika
Ova
Hata watumie trillion 300 hakuna kitakachobafilika
Ova
Wewe unaota aisee.Hujui kusoma au? TRA inakusanya 2.7T/M Kwa Bajeti hii ya 2024/2025 na Bajeti ijayo itakuwa 3T/M .Na hilo ndio swali gumu.
Wanakusanya kwa mwezi wastani wa sh trillioni 2.
Kwa mwaka ni trillioni 24.
57 -24=33 Trillioni watazipata wapi?
Hata kama wangepata akili ya Deep Seek AI wakusanye trillioni mbili na nusu kwa mwezi,makusanyo kwa mwaka ni sh Trillioni 30 tu.
30/57×100%=52.63% ya bajeti
Trillioni 27 watazipata wapi?Kama ni kupitia mikopo kwanini tusiende na falsafa ya Kafulila PPP?
Na kama haiwezekani bajeti iwe trillioni 30 tu badala ya trillioni 57
Mkuu kama ni kweli mbona mara nyingi miradi haitekelezwi kwa sababu ya kukosa pesa?Wewe unaota aisee.Hujui kusoma au? TRA inakusanya 2.7T/M Kwa Bajeti hii ya 2024/2025 na Bajeti ijayo itakuwa 3T/M .
Sasa hayo maelezo Yako umeyatoa wapi?
Miradi gani haitekelezwi?Mkuu kama ni kweli mbona mara nyingi miradi haitekelezwi kwa sababu ya kukosa pesa?
Au makusanyo na matumizi ni vitu viwili tofauti?
Bado kuna kulipa madeni,