Serikali Yapongezwa kuokoa Wananchi Tandale na Mkwajuni 2026!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,434
Reaction score
27,177
Serikali imepongezwa na wananchi tofauti tofauti baada ya kusafisha mto Ngombe, kuacha njia ya ambulance na polisi kwaajili ya ulinzi.
Watu walilipwa toka 2020 na Mh Magufuli, walilipwa wakaondoka na kuwaacha ndugu zao ama madalali wakauza tena.

Wote waliovunjiwa wawatafute madalali walale nao mbele!

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…