Serikali yapoteza State attorneys kila mwaka

Visingizio tu kila siku, nani alikwambia mishahara mizuri inazuia rushwa, hizo rushwa za TRA na Bandari huzisikii nini ilihali wana mishahara ya maana


Wanachotafuta ni maisha descent na siyo ndoto za kumiliki utajiri mkubwa kama wafanyakazi hao wa TRA na Bandarini
 


Ingekuwa umenikuta ofisini ningekuchaji pesa ila hapa ngoja nifanye pro bono. Zile kazi zinazofanywa na mawakili walioajiriwa na serikali zinatozwa kama kawaida ila malipo yake yanapaswa yaende serikalini. Refer Notary Public and commissioner for Act.
 
Visingizio tu kila siku, nani alikwambia mishahara mizuri inazuia rushwa, hizo rushwa za TRA na Bandari huzisikii nini ilihali wana mishahara ya maana
Hoja kuu hapa ni ku retain wafanyakazi waliobobea kitaaluma wasikimbie ofisi sababu ya njaa. Je unaweza kuniambia TRA wafanyakazi wanaacha kazi hovyo hovyo kama taasisi tunayoijadili hapa? Au ni mahali ambapo watu wanapambana wasitoke!?
 
Hoja kuu hapa ni ku retain wafanyakazi waliobobea kitaaluma wasikimbie ofisi sababu ya njaa. Je unaweza kuniambia TRA wafanyakazi wanaacha kazi hovyo hovyo kama taasisi tunayoijadili hapa? Au ni mahali ambapo watu wanapambana wasitoke!?


Yaani hii ofisi ikikaa vibaya itakuwa ni training ground , mishahara ni midogo, vitendea kazi hakuna, ubabe, ukanda kwa mantiki ya kubebena, stahiki za wafanyakazi haziji kwa wakati, programs za kuendeleza wafanyakazi ni mbovu, hawana ofisi , hawaruhusiwi kukutana kwa mfano kuwa na annual meeting etc. Haya wamekuwa yakiwafanya state attorneys kuacha au kuhama kazi kila siku. Kuwazuia kuhama siyo ufumbuzi ila ofisi ijielekeze katika kile kinachowafanya waache kazi.
 
hapo kwenye red mkuu. wewe ni mwanasheria?hahahaha. pili, ni kweli, huwa wanagonga mihuri, lakini ukigongewa mhuri wa laki moja au laki mbili kwa wakili wa kujitegemea, kwa wakili wa serikali utagongewa kwa alfu 20.

pili, watu wakija kwako kama commissioner for oath ukawashuhudia kitu, maana yake ni kwamba siku likitokea tatizo utatakiwa kusafiri hata kama kutoka dsm hadi mtwara ukatoe ushahidi kutokana na hicho ulichoshuhudia. wao wamezuiliwa wasipokee wateja kuwawakilisha mahakamani kwasababu italeta mgongano wa kimaslahi na serikali, lakini bado wana vyeti vya uwakili toka kwa chief justice/jaji mkuu, hivyo utakapojadili hicho kitu ujue kugonga mihuri huko mara nyingi ni liability tu, wala haina maslahi sana.
 
kuwakomoa mawakili wa serikali, ni kuwakomoa raia, watakaoumia ni raia. ni sawa na hakimu mahakamani anaondoa shauri kwa 225 wakati wakili ameandaa polisi mlangoni anakamata tena na shauri linaanza upya anayeumia ni raia. hata hapa, kama serikali haiwajali hawa jamaa, kitakachofanyika watakuwa shaba la bibi, wataamua kuungana na wahalifu hivyo kila kesi inayokuja kwao ataanza kuangalia milango ya kupiga dili tu badala ya kuhakikisha waathirika wanapata haki kisheria. hakuna mtu anayeweza kuhatarisha maisha yake pasipo maslahi, ndio maana utakuta hata polisi ana network ya majambazi anashirikiana nao kwasababu serikali haimjali. kama mkiwareject hawa jamaa, basi mkipata tatizo msikimbilie polisi kwasababu hata mkikimbilia polisi kesi hiyo itaendeshwa na hawa mawakili wa serikali na matokeo yake unayajua. wakili wa serikali ana njaa halafu unapeleka kesi ya mtu mwenye hela kwake..
 
K
Ni wakili tena anayeshinda kesi nyingi tu, hiyo iliandikwa in hurry "The Notaries Public and Commissioner for Oaths Act, cap 12 R.E , umeangalia hiyo hali with a negative eye, pia hayo yanaweza yasitokee. Kuhusu bei hiyo siyo kanuni inategemea na bargain, kwa wakili wa kujitemea lazima iwe relatively higher kwa sababu ya charges wakili anapaswa kulipia ofisi na mambo mengine. Wakili wa serikali halipii chochote kwani hata mhuri wenyewe ni wa serikali.
 
Shetani atawalipa kwa kutetea maovu!

Mpaka kufikia kuhitimisha kusema mtu flan ni mwovu ni mchakato mrefu wa kisheria. Kumbuka Katiba yetu ina dhana kuwa mtu hana hatia mpaka ithibitishwe kuwa kweli katenda kosa.
 

Kaka nawe umepotoka!
I
Kuendesha kesi ya pesa nyingi huku unaishi uswahilini, kufa nje nje.

Sikulaumu sana Maana waweza kuwa hujawahi kusikia mtu kuwekewa achague Pesa (rushwa) au bunduki. Uchague Kifo au Rushwa.
 
na imagine umesubmit namna hiyo kwa mh. jaji....jinsi atakavyokuwa disappointed kuona wakili aliyeko mbele yake anaongea kwa kukurupuka namna hiyo. sheria ni profession inayohitaji umakini sana, mtu asiye makini si mwanasheria. hata hivyo, jamaa asikuzingue sana, makosa ya grama ni kitu cha kawaida.
 
Kaka nawe umepotoka!
I
Kuendesha kesi ya pesa nyingi huku unaishi uswahilini, kufa nje nje.

Sikulaumu sana Maana waweza kuwa hujawahi kusikia mtu kuwekewa achague Pesa (rushwa) au bunduki. Uchague Kifo au Rushwa.
kama ningekuwa mimi, naishi uswahilini, jamaa anakuja anaweka mezani bunduki hapo na pesa hapo halafu anasema chagua....hahahaha. nafikiri jibu umelipata. nilishawahi kufanya kazi kama wakili wa serikali, na nilikimbia mambo kama hayahaya. kwa kawaida, wakili wa serikali anayefanya kazi zaidi ya miaka 5 ni yule mwenye roho ngumu sana na ni wale wanaosubiri kuwa wanasiasa tu, ila wengi wetu ambao tulisoma kwaajili ya kupata hela za haraka, hapo sio mahali pake. ofisi hiyo ni ofisi ambayo mtu anweza kuendesha kesi ya hela nyingi lakini anaishi uswahilini kwasababu analipwa kidogo sana, ndio maana wengine wanakimbia au kula rushwa tu.hakuna haki itapatikana kwa naman hii.
 


Siyo kukurupuka ila katika maeneo yasiyo very formal kuna baadhi ya mambo ambayo si ya kutilia mkazo , naona baada ya kunikimbia kwenye ile thread ya kutoa maelezo polisi Leo umeibukia hapa. Feel at home as by no means I expect to put you in loggerhead again.
 
hadi nimesahau kuwa tulishawahi kubishana, hahaha, watu kama wewe mimi huwa siwaweki kichwani kabisa. ok, hivyo msimamo wako bado uleule kuhusu kutoa maelezo polisi? bado hauamini kama ni haki ya suspect kukataa kutotoa maelezo na akamwambia askari anayechukua cautioned statement kuwa yeye hatoi maelezo, maelezo atayatoa anapojieleza katika defence yake mahakamani? still upo na msimamo uleule au shule yangu ilikuingia?
 
Washauri hao ndugu zako waache kazi fasta wakapate hiyo mihela mitaani!
 
 
 
hahaha, worse enough, wakati mimi bado wakili serikali dsm, boniface alikuwa bado yupo mbeya hata hajaja dsm, alipokuja dar nilishaondoka hiyo ofisi ya kimasikini. sasa sijui ni kesi zipi niliendesha na boni.
 

Tena wewe ulikuwa kilaza , kesi ulizoshinda ni zile kolabo ilikuwa ya marehumu Bonifas, nyingi ulipoteza! Pia kumbukumbu yako siyo nzuri kwani kimsingi nilisema hilo linawezekana especially kwa zile minor offences, nitake radhi , how can I learn from failures!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…