AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,897
ni shida kubwa sana aisee.Taaluma ya sheria kwa mawakili ni shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni shida kubwa sana aisee.Taaluma ya sheria kwa mawakili ni shida
ni kikundi cha watu hata 20 hakifikii ndio wanahusika na hiyo mikataba, mawakili wa serikali ninaoongelea ni hawa walioko chini ya DPP, wanaoendesha kesi mahakama ya wilaya/mkazi na mahakama za juu. sio wale wa juu, wale hawana shida. hawa ni watoto ambao wanapambana na waganga wa kienyeji wanaokwamisha kesi, kuna ndumba na midubwana ya kila aina, hawa wanapambana na majambazi, wala rushwa na wahalifu wa kila aina wakati wewe upo nyumbani. siku ikipata shida na wahalifu, utajua ninachokisema. kuhusu uzalenzo, na level za uchumi, jilinganishe hata na uganda, rwanda na kenya, mawakili wa serikali au kwa jina lingine ili uelewe watu ninaowalenga (waendesha mashitaka wa serikali), wa tz wako chini sana na ndio maana wanakula tu rushwa na kesi zinashindikana kwasababu wameachwa bila kuangaliwa. mahakama na hawa jama wapo wizara moja wote wapo wizara ya katiba na sheria, lakkni mahakana wapo vizuri sana kwenye kila kitu.
Wamewezaje kuwa waendesha mashtaka au mapolisi bora bila kupitia MIKONO BORA YA MWALIMU!? RISK zipo na tunatambua ugumu wa kazi hizo na hata wakilipwa mamilioni bado ukweli unabaki ubinadamu wao ktk kazi hizo utakuwa hatarini wakati wote na ndio maana pamoja na risk zote hizo na malipo finyu bado Kuna watu wanajiunga na hizo kazi. Kwa hiyo tuboreshe kada zote kimaslahi maana kada hizi zinategemeana!!kazi yako wewe kama mwalimu utailinganisha na mtu anayechoma sindano watu damu ikaruka na akaambukizwa magonjwa? namaanisha doctor? wewe mwalimu utajlinganisha na askari anayerushiana risasi na jambazi ili kukufanya wewe uishi kwa usalama na familia yako, na hao mawakili wa serikali/prosecutors ambao kila siku wanaendesha kesi ili wahalifu waishi gerezeni na wewe mtaani upate amani?..
umeongea jambo la maana sana, mawakili wa serikali kusema kweli wanatakiwa kuboreshewa maslahi, ulinzi etc. vilevile, hatuwezi kuwaacha waalimu ambao ndio wanasaidia nchi hii iwe na wasomi au la, tukiwa na waalimu wanaolipwa vizuri kuanzia watoto wetu hadi watu wazima watakuwa na uelewa mzuri na tukakuwa na kizazi cha kisomi. hakuna mbadala hapa, lazima waalimu wafikiriwe. hata hivyo hii haiondoi ukweli kwamba mawakili wa serikali pia wanahitaji kukumbukwa, wapo katika risk nyingi sana ndio maana wakafika wakati wanaamua tu kujiunga na wahalifu wanatoa siri za kuwasaidia wahalifu ili wahalifu wasifungwe kwasababu hakuna jinsi. hata ningekuwa mimi, maisha yangu yako hatarini lakini serikali hainijali na jambazi anaonekana atanipa interest fulani, sisemi kwamba nitajiunga na jambazi lakini nasema kwa mwanadamu wa kawaida lazima utakuwa kwenye cross-road fulani hivi. no wonder tunaona majambazi na wauaji wanakamatwa na kuachiwa muda si mrefu mahakamani...wanarudi mtaani wanaendelea kuua.Wamewezaje kuwa waendesha mashtaka au mapolisi bora bila kupitia MIKONO BORA YA MWALIMU!? RISK zipo na tunatambua ugumu wa kazi hizo na hata wakilipwa mamilioni bado ukweli unabaki ubinadamu wao ktk kazi hizo utakuwa hatarini wakati wote na ndio maana pamoja na risk zote hizo na malipo finyu bado Kuna watu wanajiunga na hizo kazi. Kwa hiyo tuboreshe kada zote kimaslahi maana kada hizi zinategemeana!!
nakubaliana na mtoa mada, umuhimu wa hawa jamaa utakuja kuuona siku ukivamiwa na majambazi wamekufanyia umafia wa aibu mbele za watoto wako, majambazi wakakamatwa wewe ukaendelea kuwa home na wao wakawa wanaendelea kupambana na jambazi huyo mahakamani. bila shaka utahitaji jambazi afungwe ili walau asirudi mtaani akufanyie umafia tena...wakati huohuo utakuwa na kihori kwamba sijui jambazi huyo atatoa rushwa kwa hawa jamaa akaachiwa akarudi tena mtaani na akirudi wewe uliyeripoti tukio polisi yaani mtendewa ndio adui namba one jambazi kukushugulikia, na alishaijua nyumba yako yote, si aliingia humo? anaweza kuja. hapo ndio utajua kuwa hawa jamaa wanaopambana na majambazi mahakamani, magaidi na mafisadi wa aina zote, wako katika risk sana ndio maana huwa inafikia kipindi wakiona maisha yao yako hatarini wanasalenda kwa wahalifu wanashirikiana nao kwa kula rushwa na wanaharibu kesi.Hakuna mtu au mtumishi yo yote wa umma ambaye anaweza kujidai eti yeye ni mhimu au wa maana zaidi ya mwingine. This is principle number one in any system.
Chukulia mfano huu: Kulikuwa na mabishano makali baina ya viungo vya mwanadamu. Kila kiungo kikijigamba kuwa ni cha mhimu kuliko wengine: mkono, mguu, jicho, sikio, mdomo, pua, mapafu, moyo, ubongo, utumbo, maini, figo, nyeti na kadhalika. Kila kimoja kikijigamba kuwa kazi yake ni mhimu kuliko kingine na kwamba kikiacha kufanya kazi yake wengine wote watapata tabu. Moyo alijigamba kuwa akiacha kusukuma damu ambayo wote wanaihitaji watakufa wote, Figo akajigamba akiacha kusafisha hiyo damu watakufa wote, Pafu akajigamba akiacha kuwaingizia hewa safi na kutoa ile chafu watakipata n.k. Bwana Mkundu ndiye kiungo aliyekuwa anadharauliwa kuliko wote - yaani kazi yake kunya mavi tu! Alijaribu kujieleza kwa wenzake kwamba kazi yake ni mhimu kuliko wengine lakini aliishia kuzomewa! Basi Bwana Mkundu akaamua kugoma kufanya kazi yake: haikupita hata siku tano kila kiungo kikawa hoi, binadamu akawa taabani. Viungo vyote vikambebeleza ayatoe hayo mavi, na alipoyatoa kila mtu alifurahi na kurudia afya yake. Tangia hapo hata Bw. Anus naye alipata heshima yake katika jamii.
Hivyo vigezo vya mishahara vinazingatia kuwa kazi zote zina umuhimu sawa. Tofauti ya mshahara huzingatia mambo mengine hususani: kiwango cha elimu, muda unaotumika kupata elimu hiyo (eg miaka 6 hadi 7 kupata shahada ya kwanza ya udaktari na miaka 4 hadi 5 kupata shahada ya uzamifu ya udaktari), ugumu wa masomo aliyosomea (eg arts versus science), mahitaji/ vipaumbele vya kitaifa, uwezo wa kiuchumi kitaifa wakulipa hiyo mishahara.
Hadi sasa mishahara ya watumishi wa serikali imeboreka zaidi ikiwamo hiyo ya mawakili wa serikali. Sasa hivi mishahara yao ni mikubwa kuliko ilivyo kwenye nyingi ya sekta binafsi. Ni ukweli kuwa sasa hivi output ya wanasheria (LLB) toka vyuo vikuu vyetu nchini ni zaidi ya elfu ishirini kwa mwaka, na wengi wao hawana ajira wako mitaani maana soko lao la ajira limejaa. Wewe inaelekea ulisoma zamani ambapo soko lilikuwa juu, sasa si hivyo. Huu ndiyo ukweli. Kigezo hakiwezi kamwe kuwa eti nchi jirani wanalipa zaidi. Hakuna anayekatazwa kwenda kuajiriwa nchi jirani au yo yote ile. Si rahisi, ndiyo maana wengi tuu wako mitaani. Wahamasishe watoto wako wasome masomo ya sayansi maana ndiyo yenye soko la ajira kwa sasa. Tanzania ya sasa na ijayo ni ya viwanda na teknolojia. Hata hayo majambazi yatadhibitiwa kisayansi na technologia. Unafanya ujambazi unanaswa na makamera, ushahidi tayari na wakili kazi yake inakuwa ndogo tu, na huyo jambazi atalaumu kamera, hata akitoa rushwa kwa wakili haitasaidia.
Ningekuunga mkono kama ungezungumzia tofauti kubwa ya mishahara kati ya wanasiasa na watalaamu katika utumishi wa serikali, si haya mambo ya eti mwanasheria ni muhimu kuliko mwalimu, polisi, mhasibu, mhandisi nk! Tofauti ya mishahara ya wanasiasa na wanataaluma ni janga na tishio la mstakabali wa Taifa (timing bomb). Utakuta hata kijana wa miaka 20 akishakuwa mbunge (hata wa viti maalum) mshahara na marupurupu yake hayapungui Shs million 15 kwa mwezi! Yaani zaidi ya mara 30 ya mshahara wa mhitimu wa shahada ya kwanza!
Naungana na wewe mkuu katika kujali maslahi ya mawakili hao wa serikali kwa ujumla, yaani wake waliopo ofisi ya AG, DPP au TAMISEMI. Kote huko treatment yao si ya kurudhisha, huko TAMISEMI ndio kabisa mpaka sare za mahakamani(suti) wanajinunulia kwa mishahara yao ingawa kazi wanayofanya inawalazimu wavae hayo mavazi ambapo mahakimu au madaktari na manesi wanagharamiwa na serikali mavazi hayo ya kazi.Nimelazimika kuandika suala hili, naweza kusema mimi mdau wa tasnia ya sheria, mwenyezi Mungu amenisaidia nimezunguka maeneo mengi duniani kikazi nikilitumikia taifa, na nimewiwa kutoa maoni yafuatayo kwa serikali iyaangalie kwa makini.
Suala lenyewe linahusu watu wanaoitwa STATE ATTORNEYS au kwa kiswahili, MAWAKILI WA SERIKALI. hawa ni watu walioko chini ya mwanasheria mkuu wa serikali pamoja na mkurugenzi wa mashitaka, ni wadogo zangu, wengine wake zetu. actually kwenye familia yetu tunao wawili. lakini maisha yao hayabadiliki, ni magumu kusema kweli. hivi serikali yao huwa haiwaangalii hawa watu, nimetembea nchi nyingi, kada hii haifanani kabisa na kada zilizoko nchi za wenzetu ambazo ziko kama wao.
1. WAKILI wa serikali ni mtu ambaye ana risky nyingi sana, ni prosecutor wa kesi kubwa za ajabu, lakini analipwa hela kidogo sana.
2. Inakuwaje wakili anayelipwa hela kidogo sana, ukampa aendeshe kesi ya bilioni moja, mbili au hata milioni mia. hawezi kuwa compromised kweli? wakili analipwa hela kidogo, mshitakiwa anaweza kumpa hela inayotosha mafao yake akistaafu, kwanini asile rushwa?
3. Wakili anaishi nyumba mbovu, amezungukwa na washitakiwa, washitakiwa ndio majirani zake, kwanini asishirikiane nao, no wonder anaweza hata kuamua kuwa rafiki wa watenda makosa na kutengeneza network kwasababu analipwa kidogo, anaishi maisha risky mtaa wa wahalifu kwasababu huko ndiko ana afford kulipa kodi na halipwi risky allowances.
4. Wakili hana usafiri, anapewa lift na washitakiwa.
HII NI OFISI PEKEE AMBAYO HAINA MAJENGO YAKE BINAFSI ZAIDI YA JENGO MOJA TU la makao makuu. hivi viongozi haina?
5. Wakili hana hela kuendesha familia, lakini amezungukwa na washitakiwa wanaoweza kumlipia ada ya watoto wake hadi wanamaliza, atashindwaje kuharibu kesi?
6. Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali ni ngumu kufanya kazi na haina msemaji. ni ofisi ya aibu sana kwasababu majengo karibia yote nchini wamepanga, wakati PCCB wamejenga majengo yao karibia kila mkoa. wakati huohuo upo ushahidi kuonyesha kwamba kila mkoa kuna kiwanja ambacho ofisi hii imepewa ili kujenga jengo, sasa angalia hiyo kodi wanayolipa kwa mwezi ni shilingi ngapi ambayo ingewashinda kujenga majengo yao, na ni kwanini wanapenda kupanga tu, huko kupanga kunamfaidisha nani na kunamwathiri nani? je kunamwathiri mtu binafsi au wafanyakazi? ofisi haina marupurupi hivi mnafikiri watu wataendelea kufanya kazi ofisini kwenu kweli, hivi kuna mtu anasoma ili ateseke?
7. Hii ni ofisi ambayo imeshikilia mambo mazito sana yanayoisaidia serikali lakini serikali haiijali hii ofisi. hii ni ofisi inayoishauri serikali mambo ya msingi, hii ndio ofisi inayoshitaki wauaji, majambazi, na wahalifu wote ili raia mkae kwa amani. hii ni ofisi ambayo inatoa ushauri na kusaidia wananchi bure, ni ofisi ya wananchi, lakini serikali haiwathamini kabisa. hivi ni kwanini?
Matokeo yake, kinachoendelea kwa mawakili wa serikali ni kwamba, watu wanakimbia kada. anakaa kidogo akishaona hapafai, anapiga hela za rushwa, halafu ana lala mbele anaenda kuwa mwanasheria wa kujitegemea. mtu kama huyo serikali inakuwa imeshampatia mafunzo mengi/training nyingi sana kwa garama ya serikali, lakini hata kabla hajainufaisha serikali kwa kile alichokisomea, ameona hakuna faida kuwa wakili wa serikali na anaondoka kwenda kuwa mtetezi wa washitakiwa wanaoshitakiwa na serikali. na zaidi ya wengi wanaoondoka, ni wale ambao wamefikia level ya senior, kwa hiyo waliobaki ni wale ambao ni junior tu ambao hawana uwezo mzuri kuendesha kesi na kutetea serikali, matokeo yake serikali inazidi kushindwa kesi kwasababu waliopo ni majunior tu hawana experience, wenye experience wameondoka kukimbia ofisi...na hao majunior wakipata experience na kuwa seniors basi wanaondoka kukimbia kada. hivyo tusishangae kwanini serikali inashindwa kesi kila siku, ni kwasababu waendesha mashitaka waliopo ni juniors , seniors wameondoka wamekimbia ofisi.
Binafsi nawaonea huruma hawa wadogo zangu, wanafanya kazi katika mazingira magumu sana. ninakuomba MAGUFULI, angalia kwa jicho la huruma kwa hii ofisi, kwasababu hawa wakiamua kuharibu kesi serikali isishinde, majambazi wote wataachiwa huru bila kufungwa, hao unaowakamata wala rushwa wataachiwa bila kufungwa, watarudi kwa wananchi na wananchi wataishi bila amani kabisa. hao vibaka watarudi mtaani, hao wabakaji watarudi mtaani, hapo ndipo mtaona ni ya muhimu. angalia mshahara wao, angalia kama kuna allowance zozote, angalia wanakoishi, angalia risky allowance zile unazowapa polisi kwanini hawa hauwapatii wakati nao wako kwenye risky sana? au unataka waharibu kesi ili usipate sifa? na mwanasheria mkuu wa serikali huwa hawaongelei kabisa kuwatetea hawa watu, wakati jaji mkuu anawatetea sana mahakama na mahakama maisha yao yamerahisishwa sana, kwanini mwanasheria mkuu wa serikali hapiganii maslahi ya watu wake? ni kwanini? basi wataondoka wote ili muendelee kuwa na wafanyakazi wasio na uzoefu, nao wakipata uzoefu wakimbie muendelee kupata kazi ya kuwatrain wapya ili nao waje kukimbia badae. kwaheri, hayo ni yangu ya moyoni.
Nimelazimika kuandika suala hili, naweza kusema mimi mdau wa tasnia ya sheria, mwenyezi Mungu amenisaidia nimezunguka maeneo mengi duniani kikazi nikilitumikia taifa, na nimewiwa kutoa maoni yafuatayo kwa serikali iyaangalie kwa makini.

hiyo ofisi tangu wamemwondoa feleshi imekuwa takataka. nafikiri kuta tatizo na utawala mpya. feleshi nasikia alishafanya utaratibu hadi wa kuanzisha chuo cha kutrain state attorneys kama kilivyo kwa mahakama kile cha rushoto. sijui kitakuwa wapi, lakini tangu hosea na watu wake wafanye umafia kumwondoa feleshi kwa maslahi ya mafisadi, ofisi hiyo huwa naionea huruma. najua feleshi hawezi kurudishwa na hata akiombwa hatakubali, lakini atafutwe mtu mwingine mwenye akili na maono kama feleshi ili ofisi hii iende mbele. kwenda mbele kwa hii ofisi maana yake ni kusababisha haki zitendeke. ninyi wananchi mkipata tatizo tu mnakimbilia polisi, hizo kesi mnazopeleka polisi hawa mawakili wa serikali ndio wanaoziendesha na ndio wanaweza kupambana hadi wahalifu wenu wakafungwa au kulipa faini. ukiona hauna macho mema kwa hawa jamaa basi ukipata tatizo usiende kuripoti polisi na ukiripoti ujue kesi yako itaendeshwa na watu ambao ni rejects na ambao wanaweza kuwa compromised na wahalifu wakapewa rushwa na kesi yako ikapotea.Naungana na wewe mkuu katika kujali maslahi ya mawakili hao wa serikali kwa ujumla, yaani wake waliopo ofisi ya AG, DPP au TAMISEMI. Kote huko treatment yao si ya kurudhisha, huko TAMISEMI ndio kabisa mpaka sare za mahakamani(suti) wanajinunulia kwa mishahara yao ingawa kazi wanayofanya inawalazimu wavae hayo mavazi ambapo mahakimu au madaktari na manesi wanagharamiwa na serikali mavazi hayo ya kazi.
Hawa jamaa wanakaa mitaani na wanaowashtaki, kiukweli ni hatari sana kwa maana ya urahisi wa kuweza kudhuriwa au hata kushawishiwa rushwa.
Ila napingana na wewe kuhusu serikali kushindwa kesi kwa sababu ya ujunia wa mawakili wa serikali, hii si kweli. Nadhani hapa tunaongelea kesi nyingi za madai ambazo serikali mara nyingi ndio huwa inashindwa. Sababu ni ndogo tu, serikali huwa inaharibu yenyewe kwa kuwapa watu kazi, mfano makandarasi ambao wanafanya kazi halafu haiwalipi kwa wakati kitu kinachopelekea makandarasi hao kufungua kesi za madai mahakamani ambapo hata wakili wa
Serikali awe Malaika bado watashindwa tu sababu mlalamikaji anakua na kesi nyeupe yenye facts za kutosha kumsaidia, anashinda kirahisi tu. Au serikali inapovunja mkataba kienyeji mfano ule wa Dowans lazima itashindwa tu. Kesi za madai karibu zote zinazohusu serikali huwa ni nyeupe sana hivyo sio suala la ujunia au usinia wa mawakili unaopelekea serikali kushindwa bali facts za kesi.
Madaktari walipogoma mwaka 2005/2006 waliongezwa mishahara na allowances nyingine (mshahara wa wakili mwenye degree wakati wa kuajiriwa ni sawa na wa Assistance Medical Officer ambae ni diploma holder anapoajiriwa), sasa basi hali ikiwa mbaya sana wao wenyewe wapigane kupitia vyama na club zao kuhusu kuangaliwa kwa maslahi yao maana kusubiri AG au DPP awapiganie, wataishia kuisoma namba.
Mbaya zaidi sheria ya kazi imeweka ugumu kwa mawakili wa serikali na mahakimu kufanya migomo ya kudai maslahi bora. Yaani kuwa na chama chao cha kutetea haki zao ni ngumu kama ilivyo jeshi lolote.Naungana na wewe mkuu katika kujali maslahi ya mawakili hao wa serikali kwa ujumla, yaani wake waliopo ofisi ya AG, DPP au TAMISEMI. Kote huko treatment yao si ya kurudhisha, huko TAMISEMI ndio kabisa mpaka sare za mahakamani(suti) wanajinunulia kwa mishahara yao ingawa kazi wanayofanya inawalazimu wavae hayo mavazi ambapo mahakimu au madaktari na manesi wanagharamiwa na serikali mavazi hayo ya kazi.
Hawa jamaa wanakaa mitaani na wanaowashtaki, kiukweli ni hatari sana kwa maana ya urahisi wa kuweza kudhuriwa au hata kushawishiwa rushwa.
Ila napingana na wewe kuhusu serikali kushindwa kesi kwa sababu ya ujunia wa mawakili wa serikali, hii si kweli. Nadhani hapa tunaongelea kesi nyingi za madai ambazo serikali mara nyingi ndio huwa inashindwa. Sababu ni ndogo tu, serikali huwa inaharibu yenyewe kwa kuwapa watu kazi, mfano makandarasi ambao wanafanya kazi halafu haiwalipi kwa wakati kitu kinachopelekea makandarasi hao kufungua kesi za madai mahakamani ambapo hata wakili wa
Serikali awe Malaika bado watashindwa tu sababu mlalamikaji anakua na kesi nyeupe yenye facts za kutosha kumsaidia, anashinda kirahisi tu. Au serikali inapovunja mkataba kienyeji mfano ule wa Dowans lazima itashindwa tu. Kesi za madai karibu zote zinazohusu serikali huwa ni nyeupe sana hivyo sio suala la ujunia au usinia wa mawakili unaopelekea serikali kushindwa bali facts za kesi.
Madaktari walipogoma mwaka 2005/2006 waliongezwa mishahara na allowances nyingine (mshahara wa wakili mwenye degree wakati wa kuajiriwa ni sawa na wa Assistance Medical Officer ambae ni diploma holder anapoajiriwa), sasa basi hali ikiwa mbaya sana wao wenyewe wapigane kupitia vyama na club zao kuhusu kuangaliwa kwa maslahi yao maana kusubiri AG au DPP awapiganie, wataishia kuisoma namba.
wamewakataza hata kuwa washabiki wa chama chochote cha siasa. hilo ni ok, basi wangeboresha maslahi yao basi kwasababu wamewafunga mikono na miguu kilichobaki ni wao kula rushwa au kukimbia ofisi.M
Mbaya zaidi sheria ya kazi imeweka ugumu kwa mawakili wa serikali na mahakimu kufanya migomo ya kudai maslahi bora. Yaani kuwa na chama chao cha kutetea haki zao ni ngumu kama ilivyo jeshi lolote.
Si huwa wanasema mlango huu ukifungwa basi mlango mwingine hufunguliwa, basi ndio hivyo kwa state attorney walio wengi huwa hawajali sana serikali kupoteza kesi maadamu wahalifu/mafisadi wametoa kitu kidogo pesa kwao.wamewakataza hata kuwa washabiki wa chama chochote cha siasa. hilo ni ok, basi wangeboresha maslahi yao basi kwasababu wamewafunga mikono na miguu kilichobaki ni wao kula rushwa au kukimbia ofisi.
Ukitaka kujua wapi maslahi ni mazuri na ni wapi ni mabaya angalia rate ya kuacha kaziHivi ni mtumishi wa kada gani hasitahili malipo mazuri?
Kuanzia uchaguzi askari wana posho ya laki 3 kila mweziMwanawaMung leo ndio mnajua fani ya sheria ina risk ?
Askari nao wasemeje. ...usiwaharibu wadogo zako waache watumikie wananchi usipandikize moyo wa tamaa. ..ulitaka walipweje kwa mfano
Kila kada ina umuhimu wake na huo umuhimu unatofautiana, hivi kwa mfano unalinganisha vipi daktari bingwa aliyetoka kufunya upasuaji wa masaa 8 na Mwalimu aliyekuwa anafundisha vita vya maji maji? Tofauti ziko wazi ndio maana baadhi ya kazi watu hulipwa kwa masaaJukumu mmojawapo la mwalimu ni kujenga jamii yenye maadili kwa kuwa taifa hili limedharau kada hii ukiwamo na wewe ndio maana wanasheria wahalifu wanazalishwa, wabakaji majambazi. Acha ubinafsi kila kada ina umuhimu kwa nafasi yake tuwekeze vyema kwenye utumishi wote wa Serikali hii itakuwa ni hatua njema ya kujenga uzalendo na kupiga hatua kimaendeleo binafsi na kwa taifa zima