permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Washauri hao ndugu zako waache kazi fasta wakapate hiyo mihela mitaani!
Wengi washaondoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washauri hao ndugu zako waache kazi fasta wakapate hiyo mihela mitaani!
naamini you can learn from me, kwasababu nina uhakika hauelewi. unachotakiwa kujua kuanzia leo ni kwamba, askari akifika na suspect chumba cha upelelezi au popote anapoandika maelezo, anatakiwa kujitambulisha, kumwacha suspect ajitambulishe, kumjulisha tuhuma yake na jambo litakalofuata ndilo tunalobishana mimi na wewe, "kumwambia kuwa upo hapa kutoa maelezo kwa hiari, haulazimishwi kutoa maelezo haya unaweza kuyatoa au kukataa kutoa maelezo"Tena wewe ulikuwa kilaza , kesi ulizoshinda ni zile kolabo ilikuwa ya marehumu Bonifas, nyingi ulipoteza! Pia kumbukumbu yako siyo nzuri kwani kimsingi nilisema hilo linawezekana especially kwa zile minor offences, nitake radhi , how can I learn from failures!
naamini you can learn from me, kwasababu nina uhakika hauelewi. unachotakiwa kujua kuanzia leo ni kwamba, askari akifika na suspect chumba cha upelelezi au popote anapoandika maelezo, anatakiwa kujitambulisha, kumwacha suspect ajitambulishe, kumjulisha tuhuma yake na jambo litakalofuata ndilo tunalobishana mimi na wewe, "kumwambia kuwa upo hapa kutoa maelezo kwa hiari, haulazimishwi kutoa maelezo haya unaweza kuyatoa au kukataa kutoa maelezo"
palepale akisema kuwa, sitaki kutoa maelezo tu, askari anaishia palepale, anaandika tu kwenye cautioned statement kuwa "suspect amekataa kutoa maelezo". hii ni hiari yake.
kitakachofuata hapo kama atakubali kutoa maelezo yake, ni kumwambia kuwa, anayo haki kuita wakili, ndugu, rafiki au jamaa awepo wakati maelezo yake yanatolewa, na mwisho kwamba maelezo hayo anayotoa anatakiwa kujua kuwa kuna siku yanaweza kuja kutolewa mahakamani kama ushahidi dhidi yake.
huu ni mwongozo uliowekwa na sheria, na ni kwa makosa yote ya jinai, sio kwa monor offences tu au kwa major offences/serious ones whatever you call them.
sasa wakili msomi, kama hata jambo dogo la first year kama hili haulijui, wewe ni wakili gani? na je, eleza hapa ni makosa gani suspect anaweza kulazimishwa kutoa maelezo ya onyo na yepi ambayo ni minor suspect anapewa uhuru. yataje hapa hayo makosa. najua hautataja kwasababu utaaibika kwa wanasheria wanaokusika hapa kwa majibu ya ukilaza.
tukija suala ya boni, wakati mimi naondoka ofisi hiyo ya ajabuajabu, boni bado alikuwa mbeya kama wakili wa serikali, alipokuja dar nilishaondoka. sasa sijui unaongea nini.
29. No confession which is tendered in evidence shall be rejected on the ground that a promise or a threat has been held out to the person confessing unless the court is of the opinion that the inducement was made in such circumstances and was of such a nature as was likely to cause an untrue admission of guilt to be made.Sina haja ya kujibu baadhi ya hoja nyingine kwani kuna watu hata wa certificate wanaweza kukusaidia katika hilo. Ukolabo si lazima ufanye kazi kituo kimoja alikuwa anapigiwa simu karibia nchi nzima, sijui wakili gani wa serikali hakuwa na namba ya Boni. Pia wewe ni mwongo kwani ile thread ya kwanza ulikiri kufanya naye kazi. Mwishoni wewe umejaa nadharia,Msubiri Adv Mwale atoke aliko umwulize kwa nini alikubali kutoa maelezo polisi na asisubiri kutoa mahakamani. Ila pia kifungu cha 29 cap 6 ukikisoma kwa umakini na kesi zinazokitafsiri itakuaaidia pia. Naamini hii ni shule ya bure
53. CPA Where a person is under restraint, a police officer shall not ask him any questions, or ask him to do anything, for a purpose connected with Persons under restraint to be the investigation of an offence, unless-Sina haja ya kujibu baadhi ya hoja nyingine kwani kuna watu hata wa certificate wanaweza kukusaidia katika hilo. Ukolabo si lazima ufanye kazi kituo kimoja alikuwa anapigiwa simu karibia nchi nzima, sijui wakili gani wa serikali hakuwa na namba ya Boni. Pia wewe ni mwongo kwani ile thread ya kwanza ulikiri kufanya naye kazi. Mwishoni wewe umejaa nadharia,Msubiri Adv Mwale atoke aliko umwulize kwa nini alikubali kutoa maelezo polisi na asisubiri kutoa mahakamani. Ila pia kifungu cha 29 cap 6 ukikisoma kwa umakini na kesi zinazokitafsiri itakuaaidia pia. Naamini hii ni shule ya bure
29. No confession which is tendered in evidence shall be rejected on the ground that a promise or a threat has been held out to the person confessing unless the court is of the opinion that the inducement was made in such circumstances and was of such a nature as was likely to cause an untrue admission of guilt to be made.
nakuwekea case law sasaivi hapa. lakini, kwa statement hiyo unaielewa kwamba askari anaweza kumlazimisha mtu kutoa cautioned statement?
nimetafuta CPA ya kiswahili kwenye kifungu cha 53 ili ukisome na uelewe:
53. Pale mtu anakuwa kizuizini, afisa polisi hatamuuliza
maswali yoyote, au kumtaka kufanya chochote, kwa madhumuni
yanayohusiana na upelelzi wa kosa, isipokuwa kama:–
(a) afisa polisi amemwambia jina na cheo chake;
(b) mtu huyo amejulishwa na afisa polisi, katika lugha
ambayo anaielewa, kwa maandishi na, kama
inawezekana, kwa mdomo, kwamba yuko kizuizini na
kosa ambalo kwalo yupo kizuizini; na
(c) mtu huyo ameonywa na afisa polisi katika hali ifuatayo,
yaani, kwa kumjulisha au kusababisha kujulishwa,
katika lugha anayoielewa, kwa maandishi kwa kufuata
fomu iliyowekwa na, iwapo inawezekana, kwa mdomo
kwamba –
(i) halazimiki kujibu swali lolote atakaloulizwa
na afisa polisi, tofauti na swali
linalotafuta habari kuhusiana na jina na
anuani yake; na
(ii) kwa kuzingatia Sheria hii, anaweza
kuwasiliana na mwanasheria, ndugu au
rafiki.
ndugu, the main point kwenye kitu kinaitwa confession ni kwamba, inatakiwa kutolewa kwa uhuru. hivyohivyo hata kwenye confession inayopelekea discovery ya vitu vinavyobishaniwa,...bado mahakama haiamini kama kweli alienda kuonyesha kwasababu alikuwa amejua vilipo, as long as amelazimishwa kuongea kwa namna yeyote ile, mahakama haipokei. na practice imeonyesha hivyo, nitakuletea kesi ya aina hiyo...ninazo case law nyingi sana. kwani, unafikiri polisi hawawezi kupandikiza kitu sehemu fulani, wakaongozana naye hadi eneo husika hata kama kwake, wakaita viongozi wa mtaa kushuhudia search, wakajifanya vitu hivyo vimeonyeshwa na suspect? how can you clear that doubt ili isiwe kwa benefit ya accused na wakati huohuo ushahidi umeingia mahakamani kwamba jamaa alizalimishwa, ila ulazimishwaji ulipelekea discovery?Hebu tuwekee case ya confession leading to discovery na mtuhuwiwa anadai aliteswa
53. CPA Where a person is under restraint, a police officer shall not ask him any questions, or ask him to do anything, for a purpose connected with Persons under restraint to be the investigation of an offence, unless-
(a) the police officer has told him his name and rank; informed of rights
(b) the person has been informed by a police officer, in a language in which he is fluent, in writing and, if practicable orally, of the fact that he is under restraint and of the offence in respect of which he is under restraint; and
(c) the person has been cautioned by a police officer in the following manner, namely, by informing him, or causing him to be informed, in a language in which he is fluent, in writing in accordance with the prescribed form and, if practicable, orally-
(i) that he is not obliged to answer any question asked of him by a police officer, other than a question seeking particulars of his name and address; and
(ii) that, subject to this Act, he may communicate with a relative or a friend.
the central problem here is, take an example that the accused objected to that statement, you enter into inquire/trial within trial and the accused adduces sufficient evidence that he was threatened, tortured or induced etc. how can you convince the court to invoke section 29 TEA? and as prosecutor, how can you clear the doubt and convince the court that the words in the statement were extracted from the accused and not the police themselves? and by the way, you want to tell us that what you call "practice" may surpass the law? what is the use of the law then if practice can be preferred over it?My problem as I said earlier on is not the law but practice. In cases where its minor offence is involved police tend to apply the law yet still its not always. In cases where public interest is at stake or where the offence is committed against the big potatoes I assure the law is never adhered to. What they do is extract confessions under untold hardships. You will agree with me even the cases of the famous TOKOMEZA operation the provisions you have cited here above were thrown into the dust bin. Finally in cases of confession leading to discovery court tend to ignore torture as a defence from culprits.
posho hata ya nyumba wengi sana wanalipwa mkuu. kuna watu wanapewa posho ya laki sita kila mwezi. nenda TRA uone posho yao ya nyumba wanapewa ngapi, nenda ofisi hizo za mawaziri uone, wanapata nyingi sana. ninachojua mawakili wanapata posho lakini ni posho ya kuishi uswahlini wala si sehemu salama, ndio maana bado wanaishi na wahalifu mtaani. sisi wengine wake zetu wapo huko bado, na posho yenyewe inawajia kwa kuchelewa sana. mfano, kodo ya nyumba tangu mwaka wa pesa 2015 mwezi wa saba, hadi leo hakuna hata mmoja ambaye amepata, kama asingekuwa anaishi kwangu unafikiri mwenye nyumba wake angemwambia nini sasa? si angekula rushwa?Nimesikia hawa jamaa wana scale zao tofauti na tgs,pia wanalipwa pesa za nyumba kila st.attorney,pia wanapata posho.je bado tu ni kidogo hizooo.
ukilinganisha na maslahi ya watumoshi wengine km vile madaktari,wahasibu,askari nk hapo vipi nani analipwa zaidi?