Haswaaa! Watateketea sanaVijana watakwisha
200Kwa hyo watakuwa wanauza bei gani?
Aibu sana... Magu hakukukoseaWakuu,
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amependekeza kupunguza kiwango cha ushuru wa bidhaa kwenye vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) vinavyozalishwa ndani ya nchi kutoka Sh561 kwa kila lita hadiSh134.2 kwa kila lita.
Akiwasilisha hotuba ya bajeti ya Serikali ya mwaka 2025/2026 leo Alhamisi Juni 12, 2025 bungeni, Dk Mwigulu amesema lengo la hatua hiyo ni kuweka unafuu kwa wazalishaji wa ndani, kuongeza ushindani na kuchochea uwekezaji nchini.
“Hatua hii inatarajia kupunguza mapato ya Serikali kwa kiasi cha shilingi milioni 170.2,” amesema
View attachment 3365960
Kiongozi mpumbavu uchagua wapumbavu wenzie ili kuongoza na kiongozi mwenye akili uchagua wenye akili wenzie kuongoza ....lengo la baressa ni kuua watanganyika na kuwageuza machoko ili awabashie vizuri...watu amjiulizi mbona umeme aushushwi bei ila mambo ya kipumbavu ya wazenjiWakuu,