Wauzaji watanenepa.Vijana watakwisha
Ni kweli usemacho, badala waziri apunguze ushuru kwa vitu ambavyo ni mahitaji ya muhimu ya wananchi bila kujali kipato chake, yeye anapunguza kodi kwa vitu ambavyo hata havina umuhimu wowote ule kwa mwananchi wa kawaida.Kiongozi mpumbavu uchagua wapumbavu wenzie ili kuongoza na kiongozi mwenye akili uchagua wenye akili wenzie kuongoza ....lengo la baressa ni kuua watanganyika na kuwageuza machoko ili awabashie vizuri...watu amjiulizi mbona umeme aushushwi bei ila mambo ya kipumbavu ya wazenji
No reform no electionWakuu,
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amependekeza kupunguza kiwango cha ushuru wa bidhaa kwenye vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) vinavyozalishwa ndani ya nchi kutoka Sh561 kwa kila lita hadiSh134.2 kwa kila lita.
Akiwasilisha hotuba ya bajeti ya Serikali ya mwaka 2025/2026 leo Alhamisi Juni 12, 2025 bungeni, Dk Mwigulu amesema lengo la hatua hiyo ni kuweka unafuu kwa wazalishaji wa ndani, kuongeza ushindani na kuchochea uwekezaji nchini.
“Hatua hii inatarajia kupunguza mapato ya Serikali kwa kiasi cha shilingi milioni 170.2,” amesema
Ndiyo pesa za helicopter ya Chauma zimo humoBajeti ya uchaguzi 2020 billion 300
Bajeti ya uchaguzi 2025 Trillion 1