Serikali yapunguza kodi kwenye vinjwaji aina ya Energy Drink

Ni kweli usemacho, badala waziri apunguze ushuru kwa vitu ambavyo ni mahitaji ya muhimu ya wananchi bila kujali kipato chake, yeye anapunguza kodi kwa vitu ambavyo hata havina umuhimu wowote ule kwa mwananchi wa kawaida.

Maajabu hadi wabunge wanampigia makofi kabisa.
 
No reform no election
 
Badala ya kufikiria mbinu za kuvutia uwekezaji wa ndani, kupunguza production costs na kukuza ajira.

Yeye anadhani tatizo ni kuondoa tozo za VAT tena temporary nyingi kwa mwaka mmoja tu.

Walau mwisho wa speech yake kaongea muhimu kwake ilikuwa kupiga sign kwenye note na kuwa mkusanya mapato.

Kwenye ndoto hakuna jitihada za kukumbukwa kama mtu aliebadili uchumi wa Tanzania (ndio maana ni mchumi mmbovu).
 
Hii ni zawadi kwa Bakhresa,upuuzi mtupu,vijana wajiandae kuhudhuria kliniki za figo
 
Bajeti ya uchaguzi 2020 billion 300
Bajeti ya uchaguzi 2025 Trillion 1
 
Yaan hizi sumu baada ya kupandisha Bei ndio kwanza wanaua nguvu kazi ya Taifa!!!
 
Wanampango wa kuua vijana nchi hii, maana bei itapungua na wanavinywa bila hata kusoma maelekezo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…