Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Wajinga wote hujali wingi na sio ubora. Sifa kubwa kwangu si wingi wa miradi bali ubora. Labda usema Tanzania ina miradi mingapi bora hapo ndio utakuws umeongea kitu cha maana. Hata hivyo huo wingi wa miradi ww umeujua kutoka chanzo kipi? Au mwenezi wa ccm ndio kakulisha hayo makanda unakuja kumwaga mashuzi humu?Miradi gani imekwama wewe nyumbu?
Tanzania Ina miradi Mingi kuliko Nchi yeyote ya Africa Kwa Sasa.