Wajinga wote hujali wingi na sio ubora. Sifa kubwa kwangu si wingi wa miradi bali ubora. Labda usema Tanzania ina miradi mingapi bora hapo ndio utakuws umeongea kitu cha maana. Hata hivyo huo wingi wa miradi ww umeujua kutoka chanzo kipi? Au mwenezi wa ccm ndio kakulisha hayo makanda unakuja kumwaga mashuzi humu?Miradi gani imekwama wewe nyumbu?
Tanzania Ina miradi Mingi kuliko Nchi yeyote ya Africa Kwa Sasa.
Mda wote miradi ni BoraWajinga wote hujali wingi na sio ubora. Sifa kubwa kwangu si wingi wa miradi bali ubora. Labda usema Tanzania ina miradi mingapi bora hapo ndio utakuws umeongea kitu cha maana. Hata hivyo huo wingi wa miradi ww umeujua kutoka chanzo kipi? Au mwenezi wa ccm ndio kakulisha hayo makanda unakuja kumwaga mashuzi humu?
Miaka 6 iliyopita.Oya Acha uongo? Lini misaada ilikua 40% ya bajeti? Aisee JamiiForums you should ban this man for misinformation.
Usifananishe mikopo na misaada ni vitu viwili tofauti. Bado mnategemea mikopo kutoka kwa wazungu
Hivi hii project hua unalipwa au unafanya bila malipo unajitolea? Naomba hasira uziweke kando nijibu kwa busara kuna kitu nataka kujuaMda wote miradi ni Bora
Kwanini unadanganya? Kwahiyo 2019/20 bajeti ya nchi, 40% ilikuwa misaada?Miaka 6 iliyopita.
Sasa tuko hapa 👇 👇
View: https://www.instagram.com/p/DWBqqXsDUNw/?igsh=MzR5MWt5YWZocHJ2
NdioKwanini unadanganya? Kwahiyo 2019/20 bajeti ya nchi, 40% ilikuwa misaada?
Unatakiwa uwe banned for misinformation
Hivi hata huoni aibu kudanganya? Misaada plus mikopo nafuu ilikua only 8%.Ndio
Sasa huku andika hivyo we umesema imepunguza kwa 0.9% badala ya kuandika imepunguza kutoka kadhaa mpaka kadhaa.Una matatizo sio Bure,yaani kutoka 40% to 0.9% sio kitu? Nyumbu are you okey kwenye medula huko?
Mods ndio wameandika hiyo heading ya hovyo,yangu ilikuwa safi tuuSasa huku andika hivyo we umesema imepunguza kwa 0.9% badala ya kuandika imepunguza kutoka kadhaa mpaka kadhaa.
haya mauchafu ya ccm hayanaelimu ni mautoko hayo0.9% nayo ni mafanikio? Uliishia la ngapi mkuu