Serikali yapunguza riba ya mikopo

Serikali yapunguza riba ya mikopo

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu iliahidi kumuinua mwananchi kiuchumi na sasa imekuja na punguza ya riba ya mikopo ya mtu binafsi

Benki Kuu ya Tanzania imetangaza kushusha riba ya mikopo binafsi kutoka asilimia kati ya 11 na 13 hadi asilimia 9.

Hatua hii inafuatia mwongozo wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu kuongeza upatikanaji wa mitaji ya biashara kwa riba nafuu kwa kila mtu mwenye sifa.

Rais Samia Suluhu anaendelea kuteka mioyo ya watanzania walio wengi kwa jitihada hizi za kuinua uchumia wa mtanzania kwa maendeleo haya 2025 Rais Samia Suluhu atashinda kwa kishindo
 
Hakuna kitu kama hicho, riba bado ni 18%
 
Maendeleo unayaona wewe na mumeo wengine hatuyaoni
 
kusema ni jambo moja lakini utekelezaji ni jambo jingine.
jambo la msingi ni kwa watendaji wa Banki kuu kuhakikisha kuwa jambo hili linatekelezeka haraka.
Wao wanaishia kutangaza tu hakuna hata incentives wanazotoa kwa benki zilizoshusha riba kufikia asilimia 13 kama CRDB na Benki ya Watu wa Zanzibar.

NBC ni asilimia 14, ila NMB na TCB bado wako kwenye asilimia 16 kama sio 17.

BOT wanatakiwa wawe na mkakati wa kuhakikisha mabenki yanashusha riba.
 
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu iliahidi kumuinua mwananchi kiuchumi na sasa imekuja na punguza ya riba ya mikopo ya mtu binafsi

Benki Kuu ya Tanzania imetangaza kushusha riba ya mikopo binafsi kutoka asilimia kati ya 11 na 13 hadi asilimia 9.

Hatua hii inafuatia mwongozo wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu kuongeza upatikanaji wa mitaji ya biashara kwa riba nafuu kwa kila mtu mwenye sifa.

Rais Samia Suluhu anaendelea kuteka mioyo ya watanzania walio wengi kwa jitihada hizi za kuinua uchumia wa mtanzania kwa maendeleo haya 2025 Rais Samia Suluhu atashinda kwa kishindo
Bashiru ametusababishia mengi na bado tunasubiri zaidi!
 
Hapo imetumika tu lugha ya jumla kuhusu kushushwa kwa riba pengine kwa malengo fulani ya kiki za kisiasa. Benki Kuu pamoja na kuwa yeye ni "regulator" lakini kamwe haiwezi kukurupuka na kuagiza mara moja kuanza kutumika kwa 'price ceiling' mpya kwa taasisi za kifedha ndani ya soko la fedha.

Riba huwalilisha bei ya bidhaa za kifedha iliyopo sokoni, ambapo hutegemea nguvu utashi kwa wanunuzi, na pia nguvu za ugavi kwa watoa huduma za kifedha. Taasisi mbalimbali za kifedha huweka viwango vya riba kwa kutegemea vigezo vya kiuwiano katika kutaka kuiendeleza taasisi husika kifaida, na kama ni ya wanahisa, basi lengo kubwa likiwa ni kurudisha faida kwao.

Bajeti, mipango na mikakati ya taasisi yoyote ile ya kifedha, hutegemea uwiano wa namba za kiakaunti na kifedha, "the bottomline being Return on Equity (ROE)" Ndiyo maana viwango vya riba vilivyopo sokoni vya kibenki, ni si chini ya 16% kwa zile bidhaa ambazo hazina ruzuku kutoka serikalini. Na kwa taasisi zingine za kifedha ambazo si za kibenki utakuta riba zake ni kati ya 48% mpaka kufikia 96%.

Na hapo kinachokokotolewa na kuwekwa nisu bayana kwa wateja ni "normal interest rate" na wala siyo 'effective interest rate". Nikisema nusu bayana namaanisha mteja humbiwa tu kuhusu riba ya mkopo kwa mwezi na wala si kwa muda wote wa kipindi cha mkopo, ama njia ambayo inatumika kukokotoa riba husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Ni benki gani inatoa mikopo? Lini ilitoa mikopo? Masharti milioni ya kupata mkopo lazima uwe tajiri , uwe na hati ya nyumba, leseni ya bizness , risiti za mapato , uwe na akaunti benki unaijaza mapesa kila siku kwa miaka mitatu , uwe na jina la kihindi, kufuatilia mkopo ni miaka miwili au zaidi na kuna pesa ya afisa mikopo yaani lazima kwanza uwe bwanyenye .
Kiufupi mikopo si ya watu maskini!wanaboa sana kuizungumzia kama vile watu maskini wanapewa tu. Wamuogope Mungu.
Hebu kwanza watutajie majina ya wanufaika kama sio wahindi watupu. Watuoneshe maskini 5 tu waliopewa mikopo!
Mi stori zisizo na uhalisia za Nyerere kuwafanya watu wote ni wajinga (farasi) huwa napita tu!
Stori kama hizi zinaboa sana , zinakera masikioni na kuhamasisha wajanja kusaka Green card (deadline imepita)!
 
Uko nchi gani boss?
 
naomba iandikie uzi hii
 
Back
Top Bottom