Serikali yaridhia watu kutumia tiGo kwa buku tu

aduwilly

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
1,191
Reaction score
320
Serikali ya Tanzania imeruhusu watu kutumia mitandao ya simu (Voda, Airtel, tiGo n.k) baada ya kulipia buku kwa mwezi. Hii ni ili kuongeza mapato ya serikali.

Huu ni mkakati wa majaribio ambao ukileta tija, basi watanzania watatakiwa kulipia akaunti zao za kwenye mitandao ya kijamii pia kama ifuatavyo;


1. Twitter 2000/= kwa mwezi

2. Istagram 1500/= kwa mwezi

3. Facebook 2500/= kwa mwezi

4. Jamii forums 5000/= kwa mwezi

Kazi kwenu wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…