Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
YAANI NA HIYO NIKUTAFUTIE tena muda huo sinaAsante.. hao AdB wanatoa Tsh. Ngapi
basi ni hela za ndani Kodi yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YAANI NA HIYO NIKUTAFUTIE tena muda huo sinaAsante.. hao AdB wanatoa Tsh. Ngapi
Ungefungua thread malalamiko yakoSawa kabisa na ni jambo jema na la kupongeza, ila miundombinu hii haiwezi kuhalalisha ukiukwaji na ukandamizaji mkubwa wa haki za raia pamoja na uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari bila kusahau ubaguzi kwa misingi ya itikadi za kisiasa.
Aidha, miradi hii na mingineyo haiwezi kuhalalisha swala zima la kupuuza masilahi ya watumishi wa umma, wastaafu, n.k.
humjui Salary Slip ? kila kitu cha Magufuli hakikubaliUngefungua thread malalamiko yako
Wewe ni mdau wa dodoma,unaonekana umeimizwa sana na mradi huu mpaka ukachomeka yasiohusiana
Salary Slip anavyomchukia Magufuli mpaka 2025,atakua kapata BP au kisukari kwa jinsi anavyojijazia chuki kifuanihumjui Salary Slip ? kila kitu cha Magufuli hakikubali
labda Trump asiye na mawaa aje atawale atauachia huo uhuru wa vyombo vya habari na kuruhusu siasa zisizoisha za malumbano miaka 5 mfululizo
Kwani hii lami inapita mjini , huko barabara inapopita ni vijijini.Mkopo mwingine huo lakininkwann rami haiensi vijijini kwenye mashamba, kazi ninmijini ili iweje
Maandiko ya wateuliwa kwa Kiswahili ni propaganda tupu, kwa makusudi kabisa wametia kapuni taarifa muhimu kuwa kuna mkopo toka AfB ili waseme kuwa mradi huo ni kutokana na mapato ya ndani yaliyokuwa hayakusanywi katika serikali awamu zilizopita ila awamu hii ya 5 imebana mianya na kuweza kukusanya pesa nyingi kugharamia Maendeleo ya Vitu
Hiyo Ni mikataba Haina kiasi Cha fedha Cha makubariano? Je, fedha hizo Ni kutoka mapato ya ndani au mkopo kutoka kwa wahisani.
Kwenye nchi zinazojali sana udhibiti wa rushwa, ndani ya kipindi cha miezi sita kabla na baada ya uchaguzi huwa hakusainiwi mkataba wa kandarasi yoyote kwa kuwa mikataba hii mara nyingi sana huambatana na rushwa. Usione magwanda ya kijani kibao yanagawiwa CCM ukadhani yamepatikana bure, la hasha. Ni milungula inayoambatana na tenda za aina hii.
Tusubiri baada ya muda tutasikia yatokanayo. Hata mgao wa mlungula aliokula Lugola ulikwenda kwenye account kuu ya chama (CCM) na ndio maana hutakaa usikie Lugola akiadhibiwa wala kufikishwa kotini na TAKUKURU. Mwenzake Andengenye amekwisha kuzawadiwa u-RC tayari.
Mradi huu utahusisha Ujenzi wa Vituo vya Afya pamoja na magari ya wagonjwa (Ambulance) matano katika maeneo ya Ihumwa, Nala, Mahomanyika na Veyula.
Aidha, itajumuisha uchimbaji wa visima virefu vya maji katika maeneno ya Ihumwa, Mahomanyika, Nala na Veyula.
Vilevile, kutakuwa na ukarabati wa Shule ya Msingi Chilwana Ihumwa na ukarabati wa barabara za Mwangaza-Medeli-Kizota-Zuzu zenye jumla ya Kilometa 28.37.
Source : Serikali yasaini mikataba ya Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko (112.3km) Jijini Dodoma