Serikali yasaini mikataba ya Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko (112.3km) Jijini Dodoma

Ungefungua thread malalamiko yako
Wewe ni mdau wa dodoma,unaonekana umeimizwa sana na mradi huu mpaka ukachomeka yasiohusiana
 
Ungefungua thread malalamiko yako
Wewe ni mdau wa dodoma,unaonekana umeimizwa sana na mradi huu mpaka ukachomeka yasiohusiana
humjui Salary Slip ? kila kitu cha Magufuli hakikubali
labda Trump asiye na mawaa aje atawale atauachia huo uhuru wa vyombo vya habari na kuruhusu siasa zisizoisha za malumbano miaka 5 mfululizo
 
humjui Salary Slip ? kila kitu cha Magufuli hakikubali
labda Trump asiye na mawaa aje atawale atauachia huo uhuru wa vyombo vya habari na kuruhusu siasa zisizoisha za malumbano miaka 5 mfululizo
Salary Slip anavyomchukia Magufuli mpaka 2025,atakua kapata BP au kisukari kwa jinsi anavyojijazia chuki kifuani
 
Speaking after the signing of the agreements, Patrick Mfugale, TANROADS Chief Executive Officer, said CCECC will construct 52.3 kilometers of the road for 100.8 billion Tanzanian shillings (about 43.5 million U.S. dollars) within 39 months and AVIC INTL Project Engineering Company will construct 60 kilometers of the road at 120.86 billion Tanzanian shillings within 43 months.

The agreements were signed Friday in the capital Dodoma between the Tanzania National Roads Agency (TANROADS), on behalf of the government of Tanzania, and representatives from China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) and AVIC INTL Project Engineering Company.

Source: Tanzania signs road construction agreements with two Chinese firms
 
Hiyo Ni mikataba Haina kiasi Cha fedha Cha makubariano? Je, fedha hizo Ni kutoka mapato ya ndani au mkopo kutoka kwa wahisani.

Speaking after the signing of the agreements, Patrick Mfugale, TANROADS Chief Executive Officer, said CCECC will construct 52.3 kilometers of the road for 100.8 billion Tanzanian shillings (about 43.5 million U.S. dollars) within 39 months and AVIC INTL Project Engineering Company will construct 60 kilometers of the road at 120.86 billion Tanzanian shillings within 43 months.

Source: Tanzania signs road construction agreements with two Chinese firms
 
Kwenye nchi zinazojali sana udhibiti wa rushwa, ndani ya kipindi cha miezi sita kabla na baada ya uchaguzi huwa hakusainiwi mkataba wa kandarasi yoyote kwa kuwa mikataba hii mara nyingi sana huambatana na rushwa. Usione magwanda ya kijani kibao yanagawiwa CCM ukadhani yamepatikana bure, la hasha. Ni milungula inayoambatana na tenda za aina hii.
Tusubiri baada ya muda tutasikia yatokanayo. Hata mgao wa mlungula aliokula Lugola ulikwenda kwenye account kuu ya chama (CCM) na ndio maana hutakaa usikie Lugola akiadhibiwa wala kufikishwa kotini na TAKUKURU. Mwenzake Andengenye amekwisha kuzawadiwa u-RC tayari.
 
Ukisoma mkataba wa ujenzi huo wa barabara unaendana na ujenzi wa vituo vya afya na vyoo !

Ujenzi wa makando kando hayo ni harufu ya rushwa kwa CCM Mpya kukusanya pesa za kampeni na kiini macho kuwarubuni wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…