johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Naibu waziri wa kilimo Hussein Bashe amekanusha serikali kufunga mipaka ya biashara ya mazao ya kilimo na nchi jirani.
Bashe amesema biashara hiyo ilizorota kwa sababu ya Corona na kidogo mambo ya kisiasa lakini Rwanda wameshaanza kuja kununua mazao na Uganda ambao ni soko letu kuu walikuwa kwenye uchaguzi na hali itarejea kama zamani hivi karibuni.
Waziri Bashe amesema hayo akiwa ziarani mkoani Shinyanga.
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!