johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Na kweli.Mitano tena.
Wanachoongea na wanachokifanya ni tofauti. Na bado tra hawajakutembelea ili kukufumua na kukubambikia kodi kubwa mno. Ndio maana watu wengi wametulia wanasikilizia 2025 kuona upepo utakuwaje.Na kweli..
Nina Tani elfu moja ya mahindi nataka ifike tu hapo Himo, vibali sasa.. khaa!