Serikali yasema hoja 110 za CAG hazina mashiko

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Serikali imesema kati ya taarifa 533 zilizopokelewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) mwaka 2021, taarifa 110 zilifungwa kwa kukosa mashiko.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk Eliezer Felishi ameyasema hayo, leo Novemba 5, 2022 wakati akichangia taarifa za Kamati za Kudumu za Bunge za Hesabu za Serikali, (PAC), Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na Uwekezaji wa Mitaji ya Umma.

Amesema wapo wanaotuhumiwa na waliobainika na wakachukuliwa hatua kulingana na sheria za utumishi. “Inawezekana watu wanashangaa kuwaona watu mitaani, lakini yule mtu shauri lake limeshachunguza na tayari limeshafanyiwa kazi na mamlaka zinazohusika,” amesema.

Amesema kwa mujibu wa taarifa ya Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), ya mwaka 2021, kati ya taarifa walizopokea kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), 533, taarifa 110 zilifungwa kwa kukosa mashiko.

Amesema taarifa 102 za CAG, zilichukuliwa hatua za kinidhamu na kwamba mchakato wa kutuhumiwa umegatuliwa Kikatiba. “Inawezekana watu wakaonekana mtaani ameshafikishwa kwa muajiri na akatiwa hatiani kwa mujibu wa Sheria za Umma na Sheria ya Fedha za Umma,” amesema.
 
Hii nchi ni ya kujilia na wa kulaumu ni raia sisi tulivyo wajinga, Raia ndio sababu ya haya yote, Raia wangekuwa serious huu ujinga usingeusikia kokote kule.

Raia ni sababu ya haya yote na kwa sababu still tuna ujinga na ukondooo wacha waendeleee kula
 
Za awamu ile zilikuwa na mshiko ila za awamu hii hazina mashiko?,

Na hutamsikia Kabwe Zitto akiongea lolote maana ni mwenzetu katika iman
So Zitto kazaliwa kuja kukusemea wewe? Zitto si ana vuta Oxygen kama wewe mkuu au yeye ana tumia Oxygen tofauti? Nchi imejaaa wajinga sana wa kuamini kwamba kuna watu wa kuwasemea wengine
 
Hii nchi ni ya kujilia na wa kulaumu ni raia sisi tulivyo wajinga, Raia ndio sababu ya haya yote, Raia wangekuwa serious huu ujinga usingeusikia kokote kule.

Raia ni sababu ya haya yote na kwa sababu still tuna ujinga na ukondooo wacha waendeleee kula
Hivi huu ujinga sisi raia tunauachaje mkuu, binafsi kuna kipindi nilikuwa sio mjinga mpaka kuna wakati nikaingia kitaa kuandamana na CDM, Polisi walitubarasa bahati nzuri sikupata madhara, ila huku kitaa nikaonekana mhuni nisiye na cha kufanya, nikaacha na kukoma kabisa, sasa hali ilivyo wale waliokuwa wananiona mhuni wanatamani hata yaitishwe maandano kwa yanayoendelea Nchi hii.
 
Hii nchi ni ya kujilia na wa kulaumu ni raia sisi tulivyo wajinga, Raia ndio sababu ya haya yote, Raia wangekuwa serious huu ujinga usingeusikia kokote kule.

Raia ni sababu ya haya yote na kwa sababu still tuna ujinga na ukondooo wacha waendeleee kula
Wametuona wangese, na wamefanikiwa kutufanya wajinga.
 
Za awamu ile zilikuwa na mshiko ila za awamu hii hazina mashiko?,

Na hutamsikia Kabwe Zitto akiongea lolote maana ni mwenzetu katika iman
Kama zipi hizo zilizokuwa naashiko awamu ile na hatua zikachukuliwa?

Afu hii ni ripoti ya awamu ya 5 sio ya 6
 
Sisi tunachotaka ni mfano ili upigaji upungue. Hawa watu wafilisiwe
 
Hii awamu inatuharibia nchi.yaani cag akague na akakuta madudu then wapuuzu Fulani wanasema hazina mashiko ili ionekane serikali haijafanya madudu?
 
Serikali imesema kati ya taarifa 533 zilizopokelewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) mwaka 2021, taarifa 110 zilifungwa kwa kukosa mashiko.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk Eliezer Felishi ameyasema hayo, leo Novemba 5, 2022 wakati akichangia taarifa za Kamati za Kudumu za Bunge za Hesabu za Serikali, (PAC), Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na Uwekezaji wa Mitaji ya Umma.

Amesema wapo wanaotuhumiwa na waliobainika na wakachukuliwa hatua kulingana na sheria za utumishi. “Inawezekana watu wanashangaa kuwaona watu mitaani, lakini yule mtu shauri lake limeshachunguza na tayari limeshafanyiwa kazi na mamlaka zinazohusika,” amesema.

Amesema kwa mujibu wa taarifa ya Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), ya mwaka 2021, kati ya taarifa walizopokea kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), 533, taarifa 110 zilifungwa kwa kukosa mashiko.

Amesema taarifa 102 za CAG, zilichukuliwa hatua za kinidhamu na kwamba mchakato wa kutuhumiwa umegatuliwa Kikatiba. “Inawezekana watu wakaonekana mtaani ameshafikishwa kwa muajiri na akatiwa hatiani kwa mujibu wa Sheria za Umma na Sheria ya Fedha za Umma,” amesema.
Mbuzi wa bwana Heri !!
 
Basi CAG awajibishwe kwa kuitia serikali hasara kushughulikia hoja hewa.

Tunalindana kwa gharama yeyote au siyo?
 
Back
Top Bottom