#COVID19 Serikali yasema Watu 725 Wamekufa kwa Corona nchini Tanzania

#COVID19 Serikali yasema Watu 725 Wamekufa kwa Corona nchini Tanzania

Taarifa hii ya kutiliwa mashaka imetolewa bungeni na Naibu Waziri wa Afya Mh Mollel alipokuwa akijibu Swali LA MBUNGE ASIYE NA CHAMA HALIMA MDEE , aliyetaka kujua idadi ya waliokufa kwa corona tangu ilipoingia nchini .

Chanzo : Muungwana Blog
Mbunge wa chadema asiye kivipi!
 
Cha mtu hakiendi bure na hadi hili zogo liishe mtakuwa mmechutama vyakutosha

Lazima walipie
 
Back
Top Bottom