Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Jiulizee na weweSasa serikali inashangaa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiulizee na weweSasa serikali inashangaa nini?
Serekali ya kipuuzi hiiSerikali imesema viwanda vya gesi ya kupikia havijafata utaratibu katika kupandisha bei hivyo bei mpya hazitambuliki.
Afisa wa Ewura mr Kaguo amesema viwanda vya gesi vimetakiwa vipeleke vigezo vya kupandisha bei na serikali ama itavibariki na kukubali bei mpya ama itavikataa kama havijitoshelezi.
Source: ITV habari
ili CCM izidi kukaa madarakani!Uchumi wa soko manka!
Serikali ya hovyo inajihoji,kupanda kwa bei serikali ndio hupandishaSerikali imesema viwanda vya gesi ya kupikia havijafata utaratibu katika kupandisha bei hivyo bei mpya hazitambuliki.
Afisa wa Ewura mr Kaguo amesema viwanda vya gesi vimetakiwa vipeleke vigezo vya kupandisha bei na serikali ama itavibariki na kukubali bei mpya ama itavikataa kama havijitoshelezi.
Source: ITV habari
Yaani huku wanashangaa, na huku mkeka wa bei elekezi walitoa wao wenyewe...!!! AMA KWELI NDIDHI LIPABULIKII..!!! Dah..!!!Serikali imesema viwanda vya gesi ya kupikia havijafata utaratibu katika kupandisha bei hivyo bei mpya hazitambuliki.
Afisa wa Ewura mr Kaguo amesema viwanda vya gesi vimetakiwa vipeleke vigezo vya kupandisha bei na serikali ama itavibariki na kukubali bei mpya ama itavikataa kama havijitoshelezi.
Source: ITV habari
Serikali imesema viwanda vya gesi ya kupikia havijafata utaratibu katika kupandisha bei hivyo bei mpya hazitambuliki.