Serikali yashangaa gesi ya kupikia kupanda bei, yataka viwanda vieleze sababu ya ongezeko hilo

Mbona Maisha ya mtu wa chini yanazidi kua magumu awamu hii ya sita?
Mara tozo
Mara Bei ya mafuta na Sasa hii bbei ya gesi.
Hivi viongozi wa hii serikali hawajui kwamba Bei ya gesi ikipanda misitu itazidi kuteketea.
 
Serekali ya kipuuzi hii
 
Serikali inashangaa nini wakati imeridhia kuongezeka bei ya nishati ya mafuta? Kama nauli na bei za usafirishaji - matokeo yako ni beinza bidhaa kupanda!!

Hakutakuwa na kupungua kwa bei ya gesi kwa sababu wezi hawa jinsi bei inavokuwa juu - ndivo pato lao kupitia VAT katika bidhaa hii linavopanda! Hii ni danganyatoto!!!
 
Serikali ya hovyo inajihoji,kupanda kwa bei serikali ndio hupandisha
 
Yaani huku wanashangaa, na huku mkeka wa bei elekezi walitoa wao wenyewe...!!! AMA KWELI NDIDHI LIPABULIKII..!!! Dah..!!!
 
Mara Spika aseme hiyo sheria ilipita sijui nilikuwa nafanya nini ( sikumbuki exactly ) wakati ule
Na sasa eti wanashangaa
Au watasema tena bei ya mafuta ilipopandishwa sijui tulikuwa wapi

Hovyo kabisa hawa
 
Serikali ya kushangaa kila jambo Kuna siku watakuja na maigizo Kama haya kushangaa bei ya mafuta ya kupikia
 
Hii ni sawa na Mtoto unadundwa alafu anakuja Baba yako naye anadundwa alafu anakwambia mkimbie.
 
yaani watu wanampigia midundo samia nae anademka tu.
 

Futuhiii ndio ni FUTUHI.
 
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesitisha upandaji wa bei za gesi za kupikia zilizopanda maradufu katika baadhi ya maeneo nchini hadi hapo itakapotangazwa tena kutokana na upandaji wa bei hizo kutofuata taratibu.
 
Aisee wafanyabiashara wananguvu mpaka wanajipangia bei wenyewe !!!
 
bongo hatuhami ila chamtema kuni tutakiona .. ndo maana siku hizi posta nako mama ntilie wanapikia kuni kabisa.. maisha yamekua magumu sana lately, watu wanakula mihogo kama dozi ×3 kwa siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…