iwe imezua kupandishwa kwa bei ya jumla? ila kama inazuia bei ya rejareja,wataishia kama ilivyokuwa kwenye sukari.itaadimishwaMamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesitisha upandaji wa bei za gesi za kupikia zilizopanda maradufu katika baadhi ya maeneo nchini hadi hapo itakapotangazwa tena kutokana na upandaji wa bei hizo kutofuata taratibu.
22,000/= 15kgMamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesitisha upandaji wa bei za gesi za kupikia zilizopanda maradufu katika baadhi ya maeneo nchini hadi hapo itakapotangazwa tena kutokana na upandaji wa bei hizo kutofuata taratibu.
Hii inakuja na meliHivi hii gesi ndo ya Mtwara au ya kutoka mbali?
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesitisha upandaji wa bei za gesi za kupikia zilizopanda maradufu katika baadhi ya maeneo nchini hadi hapo itakapotangazwa tena kutokana na upandaji wa bei hizo kutofuata taratibu.
Bwashee kesho ni 5 August!Futuhiii ndio ni FUTUHI.
Bwashee kesho ni 5 August!
Ww acha tu...mambo mengine ni ya ajabu kweliEti serikali inashangaa....funny!!
Hahahaaaa...... Takwimu za asubuhi hii wameshafika 500 akiwemo dc mmoja wa mji kasoro bahari!Ndio Bwashee ,tushaandaa mawakili 386 wa kumtetea mwamba unakaribishwa.
Bora umeliona hilo mkuu, yaani tunarudi kulekule kwenye kuteketeza misitu kwa kuendekeza haya mazwazwa yanayoshangaa shangaa tukija kukurupuka nchi haina mti hata mmoja.....Mbona Maisha ya mtu wa chini yanazidi kua magumu awamu hii ya sita?
Mara tozo
Mara Bei ya mafuta na Sasa hii bbei ya gesi.
Hivi viongozi wa hii serikali hawajui kwamba Bei ya gesi ikipanda misitu itazidi kuteketea.
Hahahaaaa...... Takwimu za asubuhi hii wameshafika 500 akiwemo dc mmoja wa mji kasoro bahari!
Mkuu na wewe umeamini kama wenye viwanda wamejipandishia tu bei?Maeneo mengine serikali wako makini, ila sehemu nyingine wanawaachia wananchi mizigo waibebe wenyewe, au kwasababu hili halijapitia bungeni ndio maana serikali imesimama na wananchi? kwa sababu kama likipitia bungeni hata likiwa na maumivu kwa wananchi lazima lipitishwe.
Mkuu ndio maana tunasema bunge halina impact yeyote kwa maendeleo ya wananchi. Kwa sasa halifai kuwepo kwani ni mzigo kwa taifa, kama lingekuwa ni shirika la Umaa (ATCL, UDA n.k) basi tungesema linaendesha shughuli zake kwa hasa na kutakiwa kulifunga na waajiriwa wake kupatiwa haki zao za redundancy.Maeneo mengine serikali wako makini, ila sehemu nyingine wanawaachia wananchi mizigo waibebe wenyewe, au kwasababu hili halijapitia bungeni ndio maana serikali imesimama na wananchi? kwa sababu kama likipitia bungeni hata likiwa na maumivu kwa wananchi lazima lipitishwe.
Hawakujua eti!!!!!!!Sasa serikali inashangaa nini?
Mkuu mimi nawaomba wapinzani wasiumie kwa suala hili, hili ni suala la wananchi wenyewe waachwe wapambane na hali zao, maana wao wanataka unafuu wa maisha kupitia majasho ya wengine. Waache wapinzani wapambane na KATIBA MPYA.Wananchi wanashangaa na serikali inashangaa maajabu
Halafu kuna watu wanasema siasa haina maana
Nasubiri kuona wapinzani wakiumia kwa hili swala.
Huyo siyo Manka ni KyekuUchumi wa soko manka!
Lol... !Wanazidi kuongeza pressure ya wananchi kudai katiba mpya.
Wananchi wepi hao? wa Kenya ama TZπ π π π π πWanazidi kuongeza pressure ya wananchi kudai katiba mpya.