Serikali yashangaa gesi ya kupikia kupanda bei, yataka viwanda vieleze sababu ya ongezeko hilo

Hata tozo serikali inashangaa pia
 
Kwani ilikuwa shi ngap na imepanda Kwa kiasi Gani?
 
Sasa wao wakishangaa sie tufanye nini, nchi ya maajabu hii na viongozi wake
 
Wanapokea mishahara mikubwa na marupurupu kibao changanya na rushwa mkuu watakukumbuka wewe mzee wa kajamba nani?
 
Wananchi wanashangaa na serikali inashangaa maajabu

Halafu kuna watu wanasema siasa haina maana

Nasubiri kuona wapinzani wakiumia kwa hili swala.
Wapinzani wenyewe sijui wanapewaga mlungula wanatulia, tusiokuwa wanasiasa ndiyo tunaumiaga zaidi
 
Angalia kwenye mafuta ya kula, sukari kila mtu anaongea lake kama mazombi, aliyeturoga kajifukia kichwa huku makalio yakiwa juu kama mbuni, sasa tunaogopa kumsogelea kisa kulaaniwa [emoji41][emoji41]
 
Kwenye madaraka waliwekwa tu hilo hawawezi kushangaa wanashangaa mengine.
 
Nasikia hata chanjo zikibuma mmepanga kusema ni Magufuli
 
Wanazidi kuongeza pressure ya wananchi kudai katiba mpya.

Hakuna uhusiano wa bei ya mkaa na katiba mpya.

Hiyo katiba mnayoiota ikigusa kila kitu katika maisha si utakuwa mzigo mkubwaaa!!?? Kiutekelezaji na kuibeba kwa ajili ya kwenda nayo mahali fulani 🤣🤣🤣.

Hata kwenye biblia wameandika, kama kitabu hiki kingeandika mambo yote ya manabii, kingekuwa kikubwa hata mtu asiweze kukibeba.
 
Kama gari za kusambaza gesi zinatumia mafuta kwa nini gesi isipande wakati bei ya mafuta imepanda?
 
Tic / mabalozi tafuteni mwekezaji aweke kiwanda achakate gesi ili kila mwananchi mjini na vijijini anufaike ili matumizi ya gesi yawe kama Simu. Nchi imebarikiwa rasilimani tujue namna ya kuzitumia kwa manufaa ya kiuchumi
 
Wewe ulichukua hatua gani? Kwa sababu ww nawe ni mwananchi hetuambie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…